Hii harusi ni zaidi ya kufuru, kuna watu wana pesa na wanajua kuzitumia

Hii harusi ni zaidi ya kufuru, kuna watu wana pesa na wanajua kuzitumia

Kuna namna mtu ukijiachia mwili kuwa bongeee unaonekana mkubwa kuliko umri wako. Bwana harusi bila kuandikwa umri wake ningejua ni mtu mzima umri umesonga kumbe wala hata.
Ndio maana sipendi ubonge nyanya, automatically unazeesha kama sio kuwa mzembe.
 
Hujawahi jiuliza kwanini wanawake wengi wanapenda wanaume wasio na vitambi?. Misuli ya tumbo ina mchango mkubwa kwenye ufanyaji ngono kwa mwanaume.

Ni sawa na kalio kwa mwanamke wakati wa kujifungua. Ni nadra kukuta mwanamke mwenye kalio kupata changamoto ya kujifungua.

Subconcious mind za wanawake zinawafanya wapende wanaumehao sawa na subconcious mind ya wanaume inavyowafanya wapende wanawake hao.

Utakuta mtu anauliza sasa kalio linafaida gani kwenye sex, ni kweli faida ni ndogo ila subconcious ya mwanaume ipo kwenye uwezo wa huyo mwanamke kujifungua uyo mtoto kama ikinasa.

Same kwa wanawake na wanaume wasio na vitambi. Ukichunguza watu wembamba wanapendwa na wanawake wengi na hao wanawake wanaimani kubwa kwao hasa kwenye ngono.
Nmekuelewa vyema kabisa mkuu, kumbe kalio lina msaada sana kwenye kujifungua, fafanua kidogo mkuu nipate maarifa.
 
Naam ni trh 13
12 send-off na 13 wedding ceremony
Kila la heri mkuu
Bilionea lugano alikuwepo?
Bilionea wa jf sidhani kama alipata mwaliko.
Na group la michango unawekwa kwa lazima..
Ndio utaratibu tuliojiwekea ila naona sio sahihi, kuoa ni ishu binafsi sana kuanza kuangaika na jamii. Sherehe ndio chanzo cha yote.
Maza enu naye atahudhuria?
Sijui mkuu
Pesa haijifichi, ukiwa nayo lazima ionekane hata uifiche vipi.
kweli mkuu pesa haiongopi
 
Back
Top Bottom