Hii harusi ni zaidi ya kufuru, kuna watu wana pesa na wanajua kuzitumia

Watu wanazingatia maokoto, bwana harusi kakaa kizembe sana ila ndo hivyo pesa inaongea
Pamoja na huyo demu nae anatoka katika familia ya kitajiri nauwakika hajafuata furaha na amani ya moyo wake kwa miaka mingi ijayo bali kuendeleza legacy ya familia. Wapo vijana wengi wanaoangukia katika matakwa ya familia pasipo furaha yao. Mabilioni ya pesa yatatumika kufurahisha ndugu na marafiki ila furaha na amani ya ukweli hupatikana pale chumbani mnapobaki wawili tu
 
Kww kumtizama mwwnamke hana furaha
 
Kww kumtizama mwwnamke hana furaha
Ndiomana nikaongea hiko nilichoongea kipenzi. Muwe makini pale maisha yenu yanapotaka kuingizwa katika kutetea maslahi ya familia, sisemi kwamba ji vibaya bali nyinyi wenyewe ndio mnajua hali ilivyo; peace of your heart ndio cha kwanza kabla ya mengine
 
Sio kwa dunia ya sasa na huu ukata
 
unfortunately maney can not buy true happiness and peace
 
NDIO UJUE HAKUNA DAWA ZA KUPUNGUZA UNENE, HAKUNA!
 
unfortunately maney can not buy true happiness and peace
But money can be used to get you a very beautiful woman, a very cherished bottle of wine and world most expensive and delicious stake. Well aren't you entertained?
 
Aisee 🤔 Ndio maana wanasemaga this life no balance
 
Wewe wanawake wanamuonea gele mwenzao kapata mwanaume tajiri.🤣🤣🤣🤣🤣
 
Haya sasa ndio mapenzi ya dhati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…