Hii Hoja ya "Kijinga" Ilitolewa na Nani kwenye Kikao?

😄😀😃😂
Wakongo tupo
Hao watu wenu wenye vyeo muwe mnawapa Elimu badala ya kukariri makaratasi waliyopewa na kuaminishwa kwamba Wana akili Kwa sababu yameandikwa masters,degree,sijui PhD na upuuzi mwingine kama huo.

Ndio maana kina Mwijaku wanawadharau.
 
Huyo Jaku boy mwenyewe ana Master ni msomi wa level ya juu tuu katika nchi yetu.

Kwani Congo wanakula chakula kutokea wapi?
 
Congo na kilimo wapi na wapi.
Congo fani yao ni kucheza Ndombolo tu.
Tatizo la viongozi wetu exposure ni ndogo pamoja na inferiority complex kudhani kila mtu anayetoka nje ya mipaka ya Tanzania ni Expert/Professional.
 
Wasomi wanataka wakuonyeshe usivyoviona Mkuu
 
Back
Top Bottom