ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Hao watu wenu wenye vyeo muwe mnawapa Elimu badala ya kukariri makaratasi waliyopewa na kuaminishwa kwamba Wana akili Kwa sababu yameandikwa masters,degree,sijui PhD na upuuzi mwingine kama huo.ππππ
Wakongo tupo
Hao watu wenu wenye vyeo muwe mnawapa Elimu badala ya kukariri makaratasi waliyopewa na kuaminishwa kwamba Wana akili Kwa sababu yameandikwa masters,degree,sijui PhD na upuuzi mwingine kama huo.
Ndio maana kina Mwijaku wanawadharau.
Vipi kuhusu waarabu wa jangwani tuliwauzia misitu watutunzieMy Take
Watu wanaojiita wasomi wengi wao wamejaza takataka kichwani na hawana uwezo kabisa wa kufikiri.
View: https://www.instagram.com/p/DcO_yRZlmax/?igsh=OTUyYXZsZTc4MGlw&igsi=OTUyYXZsZTc4MGlw
Ameona akitumia basis ya makaratasi kama kigezo Cha usomi ataongeza kiwango Cha ujinga ndio maana hatumii hiyo ila anacheza na real world.Huyo Jaku boy mwenyewe ana Master ni msomi wa level ya juu tuu katika nchi yetu.
Kwani Congo wanakula chakula kutokea wapi?
Ni Yale Yale na source ni hao hao wanoitwa wasomi.Vipi kuhusu waarabu wa jangwani tuliwauzia misitu watutunzie
Ameona akitumia basis ya makaratasi kama kigezo Cha usomi ataongeza kiwango Cha ujinga ndio maana hatumii hiyo ila anacheza na real world.
Endeleeni na usomi wenu wa kuwaita Wacongo waje kuwafundisha Kilimo na Waarabu kuwafundisha kutunza misituNa amepenya. Shwaa!
Akituacha wasomi tumebung"aa
πππEndeleeni na usomi wenu wa kuwaita Wacongo waje kuwafundisha Kilimo na Waarabu kuwafundisha kutunza misitu
Mwijaku na Baba levo wako smart sana kichwani sema tu huwa wanajichetuaga makusudi kwa maslahi fulani.Ameona akitumia basis ya makaratasi kama kigezo Cha usomi ataongeza kiwango Cha ujinga ndio maana hatumii hiyo ila anacheza na real world.
Congo na kilimo wapi na wapi.Huyo Jaku boy mwenyewe ana Master ni msomi wa level ya juu tuu katika nchi yetu.
Kwani Congo wanakula chakula kutokea wapi?
Congo na kilimo wapi na wapi.
Congo fani yao ni kucheza Ndombolo tu.
Tatizo la viongozi wetu exposure ni ndogo pamoja na inferiority complex kudhani kila mtu anayetoka nje ya mipaka ya Tanzania ni Expert/Professional.
Sio kwa Congo misitu yao ni maficho ya Boko Haram watalima saa ngapiWasomi wanataka wakuonyeshe usivyoviona Mkuu
Fursa Huwa zinaibuliwa,zinavumbukiwa na kuonwa na watu ambao akili zao hazijawa confined kwenye makaratasi yaliyoandaliwa na mfumo.Wasomi wanataka wakuonyeshe usivyoviona Mkuu