Hii huenda ndio hotuba bora ya Conference of Parties ( COP 26 ) na huenda ikaacha historia kwa miaka mingi, Mungu Ibariki Tanzania

Hii huenda ndio hotuba bora ya Conference of Parties ( COP 26 ) na huenda ikaacha historia kwa miaka mingi, Mungu Ibariki Tanzania

Tunatakiwa kuwa realistic tusiendeshwe na itikadi. Kama hotuba ya mama imeonekana bora we must be proud of it and her. Akifanya vizuri ni Tanzania imefanya vizuri.
Fact
 
Mama yuko vizuri bana hata lugha ya malkia inapanda vizuri, ingekuwa jiwe kasifiwa pasingekalika humu
 
Mbona mleta clip amechanganya hotuba na wimbo sasa tutasikia nini ? Wimbo au hotuba ?
 
Back
Top Bottom