Hii huenda ndio hotuba bora ya Conference of Parties ( COP 26 ) na huenda ikaacha historia kwa miaka mingi, Mungu Ibariki Tanzania

Hotuba au kusoma risala aliyoandikiwa?

Kuomba pesa ndio hotuba bora?

Kulia kwamba ni nchi maskini hivyo isaidiwe ndio hotuba bora?

Ili umpose mwanamke ni sharti umsifie kwa uongo na unafiki wa kiwango cha kipimo cha uzamivu
Kama hujaona kuwa ile ni hotuba bora basi unashida kubwa
 
Nyie jidanganyeni tu!
 
Hakuna kitu hapa....2025 tutaamua

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Hi huu
huu Upuuzi unawasaidia ninini?
 
Sifa hizi ni za kipumbavu,hotuba kali barani Afrika ni Tshisekedi wa Congo,
Naona user mpya kutuletea upumbavu
 
Huo ni uzuzu wa kiboya hotuba bora inakusaidia nini mwananchi wa kawaida uwe unandika nyuzi za kueleweka sio kuandika andika tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…