Hii huenda ndio hotuba bora ya Conference of Parties ( COP 26 ) na huenda ikaacha historia kwa miaka mingi, Mungu Ibariki Tanzania

Wapinzani wa ukweli wataendelea kuipenda nchi yao, wale fake poleni sanaa, tuungane saa 3
 

ndio ile baba alitaka kuchomoa akojolee nje

mama akalazimisha kwa nguvu

ndio mtoto kama huyu sasa
 
Mama yupo ukumbini na wapinzani wanaojielewa, fuatilieni youtube Ikulu Tanzania
 
Hilo jarida limesema hivyo, wewe unasemaje? Nawe unaamini ni hotuba bora kwa kuwa jarida limesema?
 
Ni ya kawaida tu wala sioni kilichozidi.Halafu vipi,mbona fupi mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…