Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Kumchagua mtu wa kukuandikia hotuba yataka kipaji piaUzuzu huu sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumchagua mtu wa kukuandikia hotuba yataka kipaji piaUzuzu huu sasa
kwani kunakosa lolote?Mambo ya kusifia hotuba yamekuwa hallmark ya awamu hii
Naungana na wewe kwenye hili 100%Kumchagua mtu wa kukuandikia hotuba yataka kipaji pia
Mama ama kwa hakika anatisha aise,Tuendelee
![]()
Safi Sana, Siasa sio uadui tujenge Nchii yetuWapinzani wa ukweli wataendelea kuipenda nchi yao, wale fake poleni sanaa, tuungane saa 3
View attachment 1999058
Nikweli kabisaWapinzani wa ukweli wataendelea kuipenda nchi yao, wale fake poleni sanaa, tuungane saa 3
View attachment 1999058
Watu wanaomchukia wanashangaza sana MkuuSafi Sana, Siasa sio uadui tujenge Nchii yetu
Ila wamebaki wachache sana tena sanaWatu wanaomchukia wanashangaza sana Mkuu
Baada ya jarida la Foreign Policy ( FP) ya Marekani kuitaja hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan ya Sept 23|2021 UN Gen Assembly kuwa ndio hotuba bora zaidi toka Africa na nimiongoni mwahotuba saba ( 7 ) bora zaidi zilizotolewa na viongozi wakuu wa nchi kwenye Mkutano mkuu wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa New York Marekani,
===
Hotuba ya Rais Samia UNGA pia ilitajwa kuwa ndio hutoba bora zaidi toka kwa Rais Mwanamke duniani miongoni mwawanawake Marais waliohutubia mkutano huo wa 76 na kuhutubia,Utafiti huo ulifanywa na Foreign policy kwa kuwahoji wajumbe wa mkutano ule ambao Rais Samia alikuwa miongoni mwawajumbe hao 192 toka nchi 193 wanachama wa UN ambao wengi wao walifika na wengine wachache walishiriki kwa njia ya Mtandao,
===
Marais wengine sita ( 6 ) kati ya 192 waliotoa hotuba bora kama ilivyo kwa Rais Samia Suluhu Hassan ni Mhe Joe Biden rais wa Marekani, Rais wa Brazil Mhe Jair Bolsonaro,Rais wa China Xi Jinping,Rais wa Lebanoni Mhe Michel Aoun,Rais wa Irani Mhe Ebrahim Raisi’s na waziri mkuu wa India Narendra Modi hakika Rais Samia ni nyota inayong'aa duniani,
===
Tarehe 02|11|2021 Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan ameweka historia nyingine katika mkutano wa 26th Wa kujadili mabadiliko ya Tabia nchi yaani COP26 ulioandaliwa na Uingereza na kufanyikia Glasgow Scotland,
===
Pamoja na mambo mengine Rais Samia amesisitiza kujikita katika makubaliano ya Paris katika COP21 mwaka 2015...endelea kumsikiliza,
Ni laana zinakupa shidandio ile baba alitaka kuchomoa akojolee nje
mama akalazimisha kwa nguvu
ndio mtoto kama huyu sasa
Hilo jarida limesema hivyo, wewe unasemaje? Nawe unaamini ni hotuba bora kwa kuwa jarida limesema?Baada ya jarida la Foreign Policy ( FP) ya Marekani kuitaja hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan ya Sept 23|2021 UN Gen Assembly kuwa ndio hotuba bora zaidi toka Africa na nimiongoni mwahotuba saba ( 7 ) bora zaidi zilizotolewa na viongozi wakuu wa nchi kwenye Mkutano mkuu wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa New York Marekani,
Hotuba ya Rais Samia UNGA pia ilitajwa kuwa ndio hutoba bora zaidi toka kwa Rais Mwanamke duniani miongoni mwawanawake Marais waliohutubia mkutano huo wa 76 na kuhutubia,Utafiti huo ulifanywa na Foreign policy kwa kuwahoji wajumbe wa mkutano ule ambao Rais Samia alikuwa miongoni mwawajumbe hao 192 toka nchi 193 wanachama wa UN ambao wengi wao walifika na wengine wachache walishiriki kwa njia ya Mtandao,
Marais wengine sita ( 6 ) kati ya 192 waliotoa hotuba bora kama ilivyo kwa Rais Samia Suluhu Hassan ni Mhe Joe Biden rais wa Marekani, Rais wa Brazil Mhe Jair Bolsonaro,Rais wa China Xi Jinping,Rais wa Lebanoni Mhe Michel Aoun,Rais wa Irani Mhe Ebrahim Raisi’s na waziri mkuu wa India Narendra Modi hakika Rais Samia ni nyota inayong'aa duniani,
Tarehe 02|11|2021 Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan ameweka historia nyingine katika mkutano wa 26th Wa kujadili mabadiliko ya Tabia nchi yaani COP26 ulioandaliwa na Uingereza na kufanyikia Glasgow Scotland,
Pamoja na mambo mengine Rais Samia amesisitiza kujikita katika makubaliano ya Paris katika COP21 mwaka 2015...endelea kumsikiliza,
daaahHotuba au kusoma risala aliyoandikiwa?
Kuomba pesa ndio hotuba bora?
Kulia kwamba ni nchi maskini hivyo isaidiwe ndio hotuba bora?
Ili umpose mwanamke ni sharti umsifie kwa uongo na unafiki wa kiwango cha kipimo cha uzamivu
Balaa tupuHii English kajifunzia wapi mama?
Daah, Wazungu lazima watuelewe tu awamu hii, Hongera Rais ni hotuba nzuri sana,
Ni ya kawaida tu wala sioni kilichozidi.Halafu vipi,mbona fupi mno.Baada ya jarida la Foreign Policy ( FP) ya Marekani kuitaja hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan ya Sept 23|2021 UN Gen Assembly kuwa ndio hotuba bora zaidi toka Africa na nimiongoni mwahotuba saba ( 7 ) bora zaidi zilizotolewa na viongozi wakuu wa nchi kwenye Mkutano mkuu wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa New York Marekani,