BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
- Thread starter
- #61
Hii nchi ikifanyika sensa ya kupima IQ za wakazi wake tunaweza pata aibu sana.Na huo ndo ukweli ndugu zangu...
Au nasema uongo ndugu zangu???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii nchi ikifanyika sensa ya kupima IQ za wakazi wake tunaweza pata aibu sana.Na huo ndo ukweli ndugu zangu...
Au nasema uongo ndugu zangu???
Umemaliza. Mtu anamiliki simu ya gharama ukimuuliza ina impact gani kwenye maisha yake anabaki kusema Tecno inapata joto.Haya mambo ni hulka. Kuna watu, wengi tu wana uwezo wa kumiliki simu kali lakini wanatumia simu za kawaida sana. Na mwingine yuko radhi amiliki simu yenye thamani ya mishahara yake mitatu.
Binafsi hapa namiliki Infinix! Miaka miwili sasa. Naweza kufanya kazi za ofisi, kupiga na kupokea simu, kutuma sms na ina whatsapp. Na kwa vile maisha yangu napeleka nnavyotaka mwenyewe na serikali yangu. Hainisumbui kuitoa popote pale.
Nikienda kwa wakala au benki hawaniulizi unatumia simu gani? Ilimradi salio liwepo.
Shughuli iishie hapaMkuu shida nini?
Nunua techno weka kava la IPhone au Samsung songa mbele.
Mkuu kuwa verified maana yake kuwa na maisha bora?Mbona kuna mdau wangu humu ni verified member lakini ni choka mbaya.Hii ni verified ID. Ifuatilie vizuri
Kwel siku hizi elimu ya bongo imechange.Wanaume wa Dar unapata 4 ya 28 unajisifu?
Umeunga unga elimu mpaka kinyaa
Sikia ndugu, soma std 7 faulu, soma f 1 hadi 4 faulu soma f 5 na 6 faulu nenda University. Kuunga unga ina maana shule wewe umelazimisha tu umetumia ujanja ujanja[emoji23][emoji23]
Tafuta hela mkuuHii nchi ikifanyika sensa ya kupima IQ za wakazi wake tunaweza pata aibu sana.
Kwa tafsiri hiyo ukiwa unamiliki bmw unakuwa na kibali cha kumdharau anayemiliki Passo kuna wakati tujifunze kuappreciate vitu vya watu.
Kuna mataasisi yenye wataalamu yanasimamia standard ya hivi vitu ukiona bidhaa imeingia sokoni ni wazi kuwa imekidhi viwango vilivyowekwa.
Sasa wewe unayejifanya mjuaji na akili zako za darasa la saba b unakomaa kuwa Tecno sio simu ilihali hata basics za kutengeneza calculator huzijui.
Ukiwa unatumia Samsung unakuwa comfortable zaidi kulinganisha na Tecno? Naomba msaada wa kunidadavulia hiliTecno, itel na infinix ni simu ila za kiwango cha chini.
Lazima tukubaliane kwamba kwenye maisha kuna viwango ama levels, hizi zinatokana na vitu vingi mojawapo ni ubora.
Mfano, unaweza kupanda toyo la miguu 3 kutoka Dar kwenda Dodoma, utafika tu sawa na Shabiby ingawa mtatofautiana muda wa kufika. Barabara mnapita moja ile ile lakini tofauti ya yoto ama guta na Shabiby iko wazi.
Wewe unaweza kua na paso mwingine ana range rover sports mnaenda Arusha kutokea Dar, yote ni magari na mtafika wote Arusha kwa nyakati tofauti lakini kuna vitu kama speed, comfortability, security, safety nk ndio vitatofautisha paso na range.
Kwenye simu iko hivyo hivyo. Tecno ni simu ila za viwango vya chini, choka mbaya. Vifaa vinavyotumika kutengeneza tecno ni vya ubora hafifu ama wa chini.
Tecno tunatumia tu kwa sababu ya umasikini ila tukiwa na hela tungetamani kutumia simu za maana kama Samsung, Iphone, Huawei, Vivo, Xiaomi, LG, Lenovo ama makampuni mengine ya maana.
Hizi simu ni under quality kwa tafiti za nani? Na nani alikwambia hazitumiki zinapotoka? Narudia tena mnao diss hizi simu hamna hoja za msingi zaidi ya kashfa na dharau.
Usifananishe gari na simu afu Kuwa serious mkuu hivi vitu hatuangalii majina bali specifications. Unapoongelea bmw tafuta na gari ya Toyota inayoendana sifa na aina ya bmw weka ushabiki pembeni.
Mimi nina phantom 8 yangu hapa wenye vi sum sung vyao wasubiri.Hizi simu ni under quality kwa tafiti za nani? Na nani alikwambia hazitumiki zinapotoka? Narudia tena mnao diss hizi simu hamna hoja za msingi zaidi ya kashfa na dharau.
Mkuu nunua iphone au Samsung Ili uwafurahishe watu,
Dunia haina usawa
Kuanzia mavazi,malazi, chakula,ndinga nzuri majumba mazuri
Vyote hivi hufanyika kulingana na walimwengu wanataka Nini .ukibisha utapata taabu Sana.
Bodi wangu alinunua Toyota Prado bila kupenda kisa tu walimwengu hawakuipenda Toyota Corolla yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna kigezo kingine huwa wanaweka kwa mfano ili mtu ajiunge diploma fulani basi awe na certificate ya eneo husika analotaka kusoma diploma ama awe na ufaulu wa credit 3 ( c tatu)form four.Kwel siku hizi elimu ya bongo imechange.
IV ya 28 unaenda diploma[emoji53][emoji53]
Ni kweli nina katekno kanajaa memo kila dakikaTecno
Itel
Infinix
Ni upuuzi kama upuuzi mwingine ni sawa na
Div. IV point 28
Div. IV point 32
Div. IV point 34
Ni kuzidiana katika kufeli tu