Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Wanataka watoto wa maskini wabakie kuwa makuli,vibarua na watoto wao ndio wa hold nafasi kubwa serikalini.Kuhusu namba 5
Hivi kwanini tunang'ang'ania kufundisha watoto elimu ya primary kwa kiswahili.
Wakati kijana akifika sekondari au chuoni au kwenye udahili au ofisini katika kuandaa ripoti lugha inayotumika ni kingereza..!
Hivi hawa wapuuzi hawalioni hili gapu...?
Kwanini tusiweke msingi wa hii lugha kwa watoto toka primary..?
Mtoto anaenda kusomea course ya mtume mwamposa.. hayo mengine pambaneni nayo tu😁😁😁😁😁😁 Msomeshe apate ujuzi wa ufundi aweze kujiajiri
Sasa hivi tu Wakenya na WaUganda kimataifa wanatupiga bao kwasababu ya lugha ya Kiingereza na bado tumeondoa kabisa kama lugha yakufundishia kwa uchache wa vocabulary words za lugha ya kiswahili masomo kama biology, chemistry etc kufundisha kwa lugha ya kiswahili ndio wataongeza ugumu zaidi unless maneno yasibadilike japo nayo ni mtihani bado!Hapo kwenye lugha ya kiswahili kutumika sijaelewa naomba kufahamishwa? Ina maana Yale masomo tuliyokuwa tunasoma sekondari Kwa lugha ya kingereza sasa yatafundishwa Kwa kiswahili mpa advance ama?
Hatukuzi taifa la wapagani litakalokuwa limejaa maatheists uchwara, watoto ni lazima wafundishwe kuhusu dini maana kila mwenye akili timamu anajua umuhimu WA dini kwenye jamii yetu, Kwa hiyo Kwa vile Kuna miskiti na makanisa basi somo la dini halitakiwi kuwa na nafasi kwenye mitahala ya elimu? Akili zenu Huwa ni ndogo sana japo mnajionaga ni binadamu wenye akiliUpuuzi gani ? Unamfundisha mtu masomo ya dini ili iweje ? Kwani makanisa na misikiti wameshindwa kutoa hizo Elimu ?
Nilimsikia Afisa mmoja wa watengeneza mitaala akisema masomo ya dini yamewekwa ili yawasaidie kujiajiri kama alivyo Gwajima, Mwamposa, Kakobe na wengine wanaofanana na haoSomo la dini limewekwa ili liwasaidie nini wanafunzi?
Mtoto anasoma dini ili iweje?
Hauko sahihi hata kidogo...!!Siyo Upuuzi mkuu.
Sehemu za kujifunza mambo ya Imani/Dini inajulikana ni makanisani na misikitini.
Hiyo tu ilitosha na siyo kuyapeleka shuleni.
Na hii imefanywa kwenye shule za walala hoi siyo shule wanazosoma watoto waoSasa hivi tu Wakenya na WaUganda kimataifa wanatupiga bao kwasababu ya lugha ya Kiingereza na bado tumeondoa kabisa kama lugha yakufundishia kwa uchache wa vocabulary words za lugha ya kiswahili masomo kama biology, chemistry etc kufundisha kwa lugha ya kiswahili ndio wataongeza ugumu zaidi unless maneno yasibadilike japo nayo ni mtihani bado!
Hapo sawa. Kwa hapo nimeelewa.Nilimsikia Afisa mmoja wa watengeneza mitaala akisema masomo ya dini yamewekwa ili yawasaidie kujiajili kama alivyo Gwajima, Mwamposa, Kakobe na wengine wanaofanana na hao