The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Dini ni ya mtu binafsi hata katiba yetu inasema Tanzania haina dini.Unataka Tanzania iwe nchi isivyo na identity kama America? Dini zinasaidia sana kuwafanya raia kuwa na maadili.
Sisi wananchi hatuna sababu ya kugharamia masomo ya imani ya watu wengine. Wajigharamie wenyewe.
Maadili yanafundishwa na dini? Kwamba nchi kama Korea kaskazini, China, India nk ambazo hazina dini hatu wake hawana maadili?