The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Dini ni ya mtu binafsi hata katiba yetu inasema Tanzania haina dini.Unataka Tanzania iwe nchi isivyo na identity kama America? Dini zinasaidia sana kuwafanya raia kuwa na maadili.
Akome kabisaAcha upuuzi wewe na mwenzako Mmoja aliyetoa comment Kama hii hapo juu
Akianza la kwanza lazima amalize Form 42.Mwanafunzi akianza darasa la kwanza lazima amalize Kidato cha nne.
Sasa mwanafunz wa dar sio mtaanzania kwani hawezi kuajiriwa sehemu yyte Tanzania mbona mna hoja dhaifu hvyoWanafunzi wa Dar unawafundisha ufugaji wa nyuki na kulima Ili iweje?
Hizo nchi zote ulizozitaja Zina dini naaadili yao. Make google your friend.Akianza la kwanza lazima amalize Form 4
Asipoanza la kwanza halazimishwi kusoma.
Kama ungependa mtoto wako aolewe ndoa za kijadi za utotoni au achunge mbuzi hakikisha hakanyagi darasa la kwanza, hatabughudhiwa.
Ujumbe wa serikali nandani umeeleweka.
Labda kama unamuhamishia English medium ya nje ya TanzaniaKama elimu itakuwa hivyo nahamisha watoto wangu English Medium
Tukumbuke wenzetu Kenya shule za msingi, wameongeza madarasa kutoka 8 Hadi 9, sisi tunapunguza, kutoka 7 Hadi 6.Mtaala umekaa poa sana... na wakiusimamia wanafunzi watazidi kuwa bora miaka inavyoendelea....
Nia ni njema, tusubiri utekelezaji
Maadili Ni personality ya mtu. Dini ni kichaka tu.Unataka Tanzania iwe nchi isivyo na identity kama America? Dini zinasaidia sana kuwafanya raia kuwa na maadili.
Ni maadili zaidi ya somo la maadili,hivyo ina umuhimu wa pekee.Somo la dini limewekwa ili liwasaidie nini wanafunzi?
Mtoto anasoma dini ili iweje?