Hii imekaaje kwamba muda kadhaa jela au faini kiasi fulani?

Kwa hiyo unamanisha hukumu itatoka hakuwa na kosa bali viashiria vya kosa hivyo Mahakama inamhukumu miaka kadhaa jela au faini ya kiasi Fulani?
No nawaza tu! Si maanishi kinachoendelea plz, nasema mahakama usema hivyo kumuadhibu mtu au kuongeza mapato?
 
Haha Tundu.

Jaamaa alibugi sana kukaa nondo ...

Wakimwachia atakua gereji kila dakika nje.

Gereji Ni Hatari.

Mtu mbishi utafuna sanda mapema.

Chao.

Kumbe mlipuliza sumu anapolala ili imuue taratibu kama December iliposikika kama uvumi?

Oh, ndio sumu pia mliyotumia kumuulia Thadei Ole Mushi taratibu?

Pole sana , je Lissu akifa ndio barabaraba zote za Dar es Salaam zitakua kama autobahn ambazo hazina speed limit kule Ujerumani

Lissu akifa ndio vijiji vyote Tanzania vitafikiwa na maji na umeme?

Mnaonaje nguvu kubwa mnazotumia kupambana na Lissu asiye na silaha hata moja mngetatua matatizo na kero lukuki za watanzania na kisha ipatikane katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ili watu wawe na uhakika wanayemtaka ndio watamchagua na atatangazwa kuwa kiongozi wa kuwaongoza?

Polepole mmemuua je imeondoa dhana au uhalisia wa kumsafisha Kikwete, Kizigha , au Rostam, jibu ni kwamba hakuna fikra zinaishi na video zile zipo kuna siku zitafanyiwa rejea hata ikipita miaka 50.

Nakupa pole mpeleka sumu, mtoa sumu na wenzio muda wa mabadiliko ukifika hakuna kitu hata kimoja kitarudi nyuma ataondoka Lissu fikra za Lissu zitakuwepo na watakuja akina Lissu wengine huwezi kushindana na mabadiliko.
 
Kumbe mlipuliza sumu anapolala ili imuue taratibu kama December iliposikika kama uvumi?

Oh, ndio sumu pia mliyotumia kumuulia Thadei Ole Mushi taratibu?

Pole sana , je Lissu akifa ndio barabaraba zote za Dar es Salaam zitakua kama autobahn ambazo hazina speed limit kule Ujerumani

Lissu akifa ndio vijiji vyote Tanzania vitafikiwa na maji na umeme?

Polepole mmemuua je imeondoa dhana au uhalisia wa kumsafisha Kikwete, Kizigha , au Rostam, jibu ni kwamba hakuna fikra zinaishi na video zile zipo kuna siku zitafanyiwa rejea hata ikipita miaka 50.

Nakupa pole mpeleka sumu, mtoa sumu na wenzio muda wa mabadiliko ukifika hakuna kitu hata kimoja kitarudi nyuma ataondoka Lissu fikra za Lissu zitakuwepo na watakuja akina Lissu wengine huwezi kushindana na mabadiliko.
hey kokrochi, Umekula?

Bastad- crop
 
Mnaonaje nguvu kubwa mnazotumia kupambana na Lissu asiye na silaha hata moja mngetatua matatizo na kero lukuko za watanzania na kisha ipatikane katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ili watu wawe na uhakika wanayemtaka ndio watamchagua na atatangazwa kuwa kiongozi wa kuwaongoza?

Polepole mmemuua je imeondoa dhana au uhalisia wa kumsafisha Kikwete, Kizigha , au Rostam, jibu ni kwamba hakuna fikra zinaishi na video zile zipo kuna siku zitafanyiwa rejea hata ikipita miaka 50.

Nakupa pole mpeleka sumu, mtoa sumu na wenzio muda wa mabadiliko ukifika hakuna kitu hata kimoja kitarudi nyuma ataondoka Lissu fikra za Lissu zitakuwepo na watakuja akina Lissu wengine huwezi kushindana na mabadiliko.

Huu ni ushaidi tosha kuna kipindi Max Mello
Tutaomba ID za hawa watu ni suala
la mda tu
 
PLEA BARGAIN ni utaratibu wa kawaida sana hata Luigi Mangione amefanya hivyo juzi tu
 
Umewahi kuona wapi mtu akahukumiwa kwa kitu kinachoitwa "viashiria vya kosa"?

Mahakama inataka mlalamikaji ku prove beyond any doubt, ukishindwa kufanya hivyo hakuna kupewa nusu ya hicho kwasababu mahakama sio shangazi yako.

Kinachofuata ni mtuhumiwa kuachiwa huru kwa mlalamikaji kushindwa kutoa ushahidi wa kutosha.
 
PLEA BARGAIN ni utaratibu wa kawaida sana hata Luigi Mangione amefanya hivyo juzi tu

Hela za plea bargain mlizokusanya enzi ya jiwe kumbe mkachepusha kwenye benki moja China mkafanyia matumizi binafsi una kumbukumbu hiyo jinga lao?

Plea bargain ni mradi wa majizi Lissu hana sababu ya kufanya plea maana hana kosa lolote miezi 15 mmeshindwa kuleta ushahidi wa maana kuhusiana na uhaini mnaoudai mnampotezea muda anastahili kupewa fidia sio kufanya plea.

Huu ni ushaidi tosha kuna kipindi Max Mello
Tutaomba ID za hawa watu ni suala
la mda tu
hhaa.

fakeni.

uzuri mnaruka ruka tu .

tunza Id boya wewe.

mwambie Domo ponea yake ya konda mishale 32 akaona yeye masiha.

fyatua kula sanda.
 
Kidampa mtunza sumu unawaza kula tu na kuua?

Umewahi kuuliza hapo unapofanyia kazi zenu chafu walikuwepo watangulizi na walikufa , unafikiri utafanya huo ushenzi milele?

Kimtu cha hovyo kabisa wewe.
uzuri mna akili ndogo.

hahaa.

Kiburi cha mjema kala sanda.

Kituo ni gereji mpakaa tuseme nenda Ikungi ma box la mbao.

fakeni danken.
 
Magufuli yuko wapi?

Mobutu yuko wapi?

Gadaffi yupo wapi?

Iddi Amin yuko wapi?

Hosni Mubaraka yuko wapi?

Bokasa yupo wapi

Hitler yuko wapi?

Hao ni wachache , muda unakuja kwa wengine .

Endelea kutumika kama toilet paper kazi chafu mwisho wake ni mchafu pia.

Si unamuona yule ndugu yako Tumainieli siku hizi kama amechanganyikiwa baada ya kufikiri wakimpoteza Ben Saanane ndio basi Tanzania itakua kama nchi ya kusadikika kutoka anga za mbali
 
Mlimmaliza Mwamba ili kutimiza mipango yenu haramu ....Rais Samia kawashikia chini

Mimi sio CCM mtandao unaowatetea ndio walimmaliza kwa mujibu wa Polepole.

Huyo Samia ni rais wa wapi?
 
Back
Top Bottom