Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 6,359
- 5,329
haha
Mimi ni Pilato .
Sifi leo wala kesho.
haha mimi nipo sana.Magufuli yuko wapi?
Mobutu yuko wapi?
Gadaffi yupo wapi?
Iddi Amin yuko wapi?
Hosni Mubaraka yuko wapi?
Bokasa yupo wapi
Hitler yuko wapi?
Hao ni wachache , muda unakuja kwa wengine .
Endelea kutumika kama toilet paper kazi chafu mwisho wake ni mchafu pia.
Mimi ni Pilato .
Sifi leo wala kesho.