britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
No nawaza tu! Si maanishi kinachoendelea plz, nasema mahakama usema hivyo kumuadhibu mtu au kuongeza mapato?Kwa hiyo unamanisha hukumu itatoka hakuwa na kosa bali viashiria vya kosa hivyo Mahakama inamhukumu miaka kadhaa jela au faini ya kiasi Fulani?
Haha Tundu.
Jaamaa alibugi sana kukaa nondo ...
Wakimwachia atakua gereji kila dakika nje.
Gereji Ni Hatari.
Mtu mbishi utafuna sanda mapema.
Chao.
hey kokrochi, Umekula?Kumbe mlipuliza sumu anapolala ili imuue taratibu kama December iliposikika kama uvumi?
Oh, ndio sumu pia mliyotumia kumuulia Thadei Ole Mushi taratibu?
Pole sana , je Lissu akifa ndio barabaraba zote za Dar es Salaam zitakua kama autobahn ambazo hazina speed limit kule Ujerumani
Lissu akifa ndio vijiji vyote Tanzania vitafikiwa na maji na umeme?
Polepole mmemuua je imeondoa dhana au uhalisia wa kumsafisha Kikwete, Kizigha , au Rostam, jibu ni kwamba hakuna fikra zinaishi na video zile zipo kuna siku zitafanyiwa rejea hata ikipita miaka 50.
Nakupa pole mpeleka sumu, mtoa sumu na wenzio muda wa mabadiliko ukifika hakuna kitu hata kimoja kitarudi nyuma ataondoka Lissu fikra za Lissu zitakuwepo na watakuja akina Lissu wengine huwezi kushindana na mabadiliko.
hey kokrochi, Umekula?
Bastad- crop
Haha Tundu.
Jaamaa alibugi sana kukaa nondo ...
Wakimwachia atakua gereji kila dakika nje.
Gereji Ni Hatari.
Mtu mbishi utafuna sanda mapema.
Chao.
Kumbe mlipuliza sumu anapolala ili imuue taratibu kama December iliposikika kama uvumi?
Oh, ndio sumu pia mliyotumia kumuulia Thadei Ole Mushi taratibu?
Pole sana , je Lissu akifa ndio barabaraba zote za Dar es Salaam zitakua kama autobahn ambazo hazina speed limit kule Ujerumani
Lissu akifa ndio vijiji vyote Tanzania vitafikiwa na maji na umeme?
Mnaonaje nguvu kubwa mnazotumia kupambana na Lissu asiye na silaha hata moja mngetatua matatizo na kero lukuko za watanzania na kisha ipatikane katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ili watu wawe na uhakika wanayemtaka ndio watamchagua na atatangazwa kuwa kiongozi wa kuwaongoza?
Polepole mmemuua je imeondoa dhana au uhalisia wa kumsafisha Kikwete, Kizigha , au Rostam, jibu ni kwamba hakuna fikra zinaishi na video zile zipo kuna siku zitafanyiwa rejea hata ikipita miaka 50.
Nakupa pole mpeleka sumu, mtoa sumu na wenzio muda wa mabadiliko ukifika hakuna kitu hata kimoja kitarudi nyuma ataondoka Lissu fikra za Lissu zitakuwepo na watakuja akina Lissu wengine huwezi kushindana na mabadiliko.
Hakuna Plea Bargaining kwenye uhaini.PLEA BARGAIN ni utaratibu wa kawaida sana hata Luigi Mangione amefanya hivyo juzi tu
PLEA BARGAIN ni utaratibu wa kawaida sana hata Luigi Mangione amefanya hivyo juzi tu
Mlimmaliza Mwamba ili kutimiza mipango yenu haramu ....Rais Samia kawashikia chiniHela za plea bargain mlizokusanya enzi ya jiwe kumbe mkachepusha kwenye benki moja China mkafanyia matumizi binafsi una kumbukumbu hiyo jinga lao?
hhaa.Huu ni ushaidi tosha kuna kipindi Max Mello
Tutaomba ID za hawa watu ni suala
la mda tu
uzuri mna akili ndogo.Kidampa mtunza sumu unawaza kula tu na kuua?
Umewahi kuuliza hapo unapofanyia kazi zenu chafu walikuwepo watangulizi na walikufa , unafikiri utafanya huo ushenzi milele?
Kimtu cha hovyo kabisa wewe.
uzuri mna akili ndogo.
hahaa.
Kiburi cha mjema kala sanda.
Kituo ni gereji mpakaa tuseme nenda Ikungi ma box la mbao.
fakeni danken.
Mlimmaliza Mwamba ili kutimiza mipango yenu haramu ....Rais Samia kawashikia chini