Hii imekaaje, Mimi na kaka yangu hatuna ukaribu wa hata kujuliana hali lakini kwenye matatizo tunasaidiana sana kuliko marafiki tuliozoeana sana.

Hii imekaaje, Mimi na kaka yangu hatuna ukaribu wa hata kujuliana hali lakini kwenye matatizo tunasaidiana sana kuliko marafiki tuliozoeana sana.

Mimi namba ya Bro nilikuaga sina
Nikaichukua mwenye simu ya bi mkubwa kwa ajili ya kumfahamisha bi mkubwa anaumwa, na vile mi ndo nilikua nauguza..
Alivyopona nikafuta! Maana hatunaga stori kabisa!!! Chuki sio chuki ugumu sio ugumu sijui ni pepo!!!!
Ila sasa kuna jambo limemkuta ndani ya miezi kadhaa nimelitatua kwa nguvu zangu zote bila hiyana... kuongea kwetu ni Detail za msingi tu!
Hata nikwamaje sijawahi muomba hata mbuni... na namba yake nimesave tu kwa ajili ya izo ishu tukishakaa kimya miezi mi2 naifuta....

huwa nashangaaga kuona watu wanaishi na ma-bro wao kirafiki aisee
Wee unalo pepo unafuta namba za kak ako hpn hakuan jhaja hyo

Leo broo nnilimueleza kuwa Sian nauli nitike sehemu fln HV Happ post kweli baada ya muda muamula mrefu ukasoma nikajuwa amekose labda kutuma bas nikatulia nikamjulisha kuwa asnta nimepata hell na tayari Niko hayao maeneo.

Wala hata hajanijibu na mop sas ajanitafuta mm nimeenda mpesa niaktoa hela zote sas nimelipa madeni kadha na nafikiria mamabo mengine

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mi nina kaka yangu ambaye tumeshare baba, ila mama tofauti mwanzo tulikuwa fresh tu kimawasiliano tokanipo school hadi chuo kikuu. Basi miaka kadhaa nyuma niliibiwa kiasi kikubwa cha fedha ofisini kwangu, mengine siyasemi maana nahisi yumo akijua key tu za post atanijuwa ni mimi. Basi nikaomba msaada niinuke nikaona amekuwa mzito, viswahili vingi 3 months kila ukimpigia mara naumwa, niko busy nikapiga chini mawasiliano na kufuta namba zake zote voda, tigo, Halotel na Airtel anazomiliki. Nikaishi fresh tu miaka kama mitano kila mmoja busy na yake na hatujawahi onana. Mwaka fulan akaenda home kusalimia akaanza kulalamika kwa dingi na maza kwamba dogo simuelewi nahisi hatuelewani. Mi nna maisha yangu nae kivyake sinaga muda kupigia magoti hata uwe mkubwa kwangu ganzi kwa kwenda mbereee bhita ni bhita muraa
Msaada sio lazima
 
Back
Top Bottom