Hii imekaaje, Polisi kuvaa fulana za ACT Wazalendo ?

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
16,464
Reaction score
35,629
Wakuu nimecheka kwa uchungu sana, nipo hapa Manispaa ya Kinondoni, Katika kufuatilia majina ya Wagombea wa Chama changu.

Lakini cha kushangaza Mapolisi walikuwa wamevaa fulana za ACT Wazalendo halafu wanajifanya ni Wanachama wa Chama cha ACT Wazalendo wakiwatuliza Wanachama wa CHADEMA eti tulieni DAS ana vikao na Viongozi wa vyama ku sort hii ishu ya majina ya Wagombea.

Lakini baada ya purukushani za Kamanda mmoja wa CHADEMA kufuatilia akaja kugundua wale wanaojifanya ni Wanachama wa ACT Wazalendo maana walishawahi kumkamata.

Ishu ikawa imeisha hivyo. Nimejiuliza sana inakuwaje Polisi wanakuwa na akili za hovyo na za ajabu kama hizi ?

Kwanini wanajipa majukumu ambayo ni tofauti na viapo vyao vya kazi zao ?

Kwa kifupi hili jambo limenishangaza na kuona hii nchi na Chama cha Mapinduzi wana mambo ya hovyo sana katika hii nchi.

Waruhusu Vyama vikapambane kwa hoja mbele ya Wananchi na Wananchi ndio wawe Mahakimu.

Nimesikitika na kushangazwa sana huu ujinga.

Nawasilisha.
 
ACT ni kama chapa ya jogoo Magomeni Usalama
 
Hahahaha 😂 😂 kiini macho
Hii ndiyo bongoland
 
Bila picha au picha mjongeo ni uongo.
 
Mtume (SAW) alihimiza haki:
"Watu waadilifu watakuwa juu ya mimbari za nuru mbele ya Mwenyezi Mungu. Hawa ni wale wanaotenda haki katika hukumu zao, familia zao, na wanaowaongoza."
(Muslim)
 
Eti "tulieni DAS ana vikao"😂😂

Ukiona Zitto anavyorukaga na CDM huko X , unajua kabisa anaenjoy hii situation...

Hao ACT hawana representation popote pale Tanganyika... Popote, sio Kigoma wala Mtwara na siku wakizinguana na Wazenji game inaishia hapo😂

But anyhow kutakucha.
 
Wakuu nimecheka kwa uchungu sana, nipo hapa Manispaa ya Kinondoni, Katika kufuatilia majina ya Wagombea wa Chama changu.

Lakini cha kushangaza Mapolisi walikuwa wamevaa fulana za ACT Wazalendo halafu wanajifanya ni Wanachama wa Chama cha ACT Wazalendo wakiwatuliza Wanachama wa CHADEMA eti tulieni DAS ana vikao na Viongozi wa vyama ku sort hii ishu ya majina ya Wagombea.

Lakini baada ya purukushani za Kamanda mmoja wa CHADEMA kufuatilia akaja kugundua wale wanaojifanya ni Wanachama wa ACT Wazalendo maana walishawahi kumkamata.

Ishu ikawa imeisha hivyo. Nimejiuliza sana inakuwaje Polisi wanakuwa na akili za hovyo na za ajabu kama hizi ?

Kwanini wanajipa majukumu ambayo ni tofauti na viapo vyao vya kazi zao ?

Kwa kifupi hili jambo limenishangaza na kuona hii nchi na Chama cha Mapinduzi wana mambo ya hovyo sana katika hii nchi.

Waruhusu Vyama vikapambane kwa hoja mbele ya Wananchi na Wananchi ndio wawe Mahakimu.

Nimesikitika na kushangazwa sana huu ujinga.

Nawasilisha.
Kwa nini hushangazwi na upumbavu wa lichama lenu limebobea Kwa rushwa.umejibu waraka wa Lissu
 
CCM bila wizi wa kura na mbeleko ya majeshi na vyombo vingine vya dola haiwezi kushinda uchaguzi wowote huru na haki.
 
Back
Top Bottom