Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Wakuu nimecheka kwa uchungu sana, nipo hapa Manispaa ya Kinondoni, Katika kufuatilia majina ya Wagombea wa Chama changu.
Lakini cha kushangaza Mapolisi walikuwa wamevaa fulana za ACT Wazalendo halafu wanajifanya ni Wanachama wa Chama cha ACT Wazalendo wakiwatuliza Wanachama wa CHADEMA eti tulieni DAS ana vikao na Viongozi wa vyama ku sort hii ishu ya majina ya Wagombea.
Lakini baada ya purukushani za Kamanda mmoja wa CHADEMA kufuatilia akaja kugundua wale wanaojifanya ni Wanachama wa ACT Wazalendo maana walishawahi kumkamata.
Ishu ikawa imeisha hivyo. Nimejiuliza sana inakuwaje Polisi wanakuwa na akili za hovyo na za ajabu kama hizi ?
Kwanini wanajipa majukumu ambayo ni tofauti na viapo vyao vya kazi zao ?
Kwa kifupi hili jambo limenishangaza na kuona hii nchi na Chama cha Mapinduzi wana mambo ya hovyo sana katika hii nchi.
Waruhusu Vyama vikapambane kwa hoja mbele ya Wananchi na Wananchi ndio wawe Mahakimu.
Nimesikitika na kushangazwa sana huu ujinga.
Nawasilisha.