Hii imekaaje wakuu mume na mke kusali dini tofauti wakati bado wako pamoja ndoani?

Babu mimi nimekutana na binti mdogo akaniambia nibadili nimfate yeye kwanza niliona kama Kani dharau Yan namzdi, pesa, umri, elimu Ata exposure afu demu 🤣akaniambia ety badili dini niliona mbona kama anataka kunioa sasa
Embu leta namba yake
 
Ki umri ndoa ni kubwa kuliko Dini/Dhehebu ivyo vilifuata baada ya Ndoa. Ukilitambua ilo uwezi kuwa mshabiki wa Dini/Dhehebu.
Ila kwa maisha yetu ya kiafrica ni kesi hapo mmoja akitangulia mbele za haki lakini kwa maisha ya Ndoa sioni kama kuna shida
 
Hakuna ndoa hapo
 
Kuna mmoja anaamua kuwa mpole ili wasiathiri malezi ya watoto but kwa upande wangu ni kosa kubwa sana mke kuwa tofauti na mimi bora ndoa ife kuliko kutofautiana imani hata kwenye bible sijawahi soma kituko kama hicho
 
Hakuna shida yoyote. Kila mtu Ć na IMANI yake
 
Kuna mmoja anaamua kuwa mpole ili wasiathiri malezi ya watoto but kwa upande wangu ni kosa kubwa sana mke kuwa tofauti na mimi bora ndoa ife kuliko kutofautiana imani hata kwenye bible sijawahi soma kituko kama hicho
Ukiachana na malezi ya watoto, pia kuna mambo mengine jamii itashindwa kuwasaidia kutokana na huo mgawanyiko
 
Kwani kuna shido,kikubwa kupendana na kuelewana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…