Hii imekaaje wakuu mume na mke kusali dini tofauti wakati bado wako pamoja ndoani?

Muhimu mapenzi. Dini siyo issue. Mie mfano.
Nawatakia kila la kheri hao COUPLESšŸ’ŖšŸ™
 
Alafu nyie mnasema ndoa mnazingua Ebu someni hapa kwa umakini
 
Ndoa ni yao, mapenzi ya yao , kwani hao wadini zao hawakuwaona waone nao? Watu wakianza maisha ndo wanachonga midomo?
 
Ndoa ni yao, mapenzi ya yao kwani, kwani hao wadini zao hawakuwaona waone nao? Watu wakianza maisha ndo wanachonga midomo?
Haya yametoka wapi ungejikita kwenye mada
 
Kwa mfano mke akiwa anapenda nguruwe na mume ni muislam huoni hapo kutakuwepo na shida?
ni kuheshimiana tu. nime-date muslims girls wengi tu, na j2 ananiandalia nguo za kanisani na yeye msimu wa ramadhan nafunga nae au ata nisipo funga sili mbele yake. sijawahi ata tamka neno nguruwe mbele yake na nakula vizuri kabisa. ila nikila nahakikisha kasafiri. just respect.
 
Dini ni Mfumo wa Kumuvudu Mungu, ili hali ndoa ni fungano la makubaliano ya kuishi pamoja watu wa jinsia 2 tofauti ili kuwa familia.
 
Kama ni hivo basi ni vizuri
 
Ila waswahili sijui mkoje, ndoa ya jirani wewe inakuhusu nini? Huna kazi ya kufanya?
 
Babu mimi nimekutana na binti mdogo akaniambia nibadili nimfate yeye kwanza niliona kama Kani dharau Yan namzdi, pesa, umri, elimu Ata exposure afu demu 🤣akaniambia ety badili dini niliona mbona kama anataka kunioa sasa
Scenario kama hii ishanikuta kademu kwanza kenyewe ndiyo kalinitongoza lakini kalikuwa katoto kanataka nikaoe lkn mm nibadili dini kwnza
 
Hamna ndoa hapo, hao wote wana zini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…