Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Hilo ni janaume suruali!Mumewe anamsikiliza sana mke atakachosema ndicho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo ni janaume suruali!Mumewe anamsikiliza sana mke atakachosema ndicho
YapNa una mtoto 😂😂😂😂
Mimi kama kijana mke wangu hana mamlaka ya kuongea na wazazi wangu kuhusu mambo yangu mimi na wazazi wangu.Hellow african
Wewe tuchukulie ni mzazi una muomba mwanao hela kuna ndugu yenu kafariki unamuuomba hela ya kuchangia kwenye msiba umeongea na mwanao wakiume akakubali vizuri baada ya nusu saa mkweo anakupigia simu anakuambia kuwa hakuna hela kama hakuna ulazima wa kuchangia usichangia wewe utamchukuliaje huyu mkweo?