Hii imekaaje wazee

Hii imekaaje wazee

We unaombwa Hela na mzazi na wewe unamwomba mwanao tena!
Hatakiwi kulaumiwa yuko focus na maisha mbele huko
WEWE toa hayo matumizi iwe msiba au harusi.
 
Wanajuana haoo utaumiza kichwa bure yote majitu mazima.
 
Hellow african

Wewe tuchukulie ni mzazi una muomba mwanao hela kuna ndugu yenu kafariki unamuuomba hela ya kuchangia kwenye msiba umeongea na mwanao wakiume akakubali vizuri baada ya nusu saa mkweo anakupigia simu anakuambia kuwa hakuna hela kama hakuna ulazima wa kuchangia usichangia wewe utamchukuliaje huyu mkweo?
Mimi kama kijana mke wangu hana mamlaka ya kuongea na wazazi wangu kuhusu mambo yangu mimi na wazazi wangu.
 
Back
Top Bottom