Hii ni aibu! Hii ni fedheha kwa jeshi letu la polisi! Hii imevunja rekodi ya dunia kwa polisi kuwakamata "wahalifu" na kuwatupa porini badala ya kuwaweka mahabusu! Eti polisi wa Tanzania wanatupa raia wao pori la Mabwepande waliwe au waumizwe na wanyama wakali!
Hii ni aibu kwa Rais Samia kuongoza jeshi la kigaidi lisilo na maadili! Ni ajabu kwa dunia Rais Samia kuendelea kumuacha IGP Wambura ofisini! Ni fedheha kwa Tanzania Jumanne Murilo kuwa ofisini hadi muda huu! Chalamila anangoja nini ofisini!
Hili Jeshi la polisi la Tanzania tofauti na majeshi yote ya kigaidi duniani ambayo yakiteka raia yanawatunza na kuanza kudai fedha za kuwakomboa jeshi la kigaidi la Tanzania linawatupa porini wamezwe na chatu na kuliwa na simba!
Ni aibu ya Karne!
Aibu yako Samia!