Hii imevunja rekodi ya dunia kwa polisi kuwakamata "wahalifu" na kuwatupa porini

Hii imevunja rekodi ya dunia kwa polisi kuwakamata "wahalifu" na kuwatupa porini

🚮
Kwa hiyo wahusika wenyewe hawajui ila wewe ambaye hukuwepo unajua?!!

Kwamba wahanga ambao ni watu wazima hawakuona na kutambua kuwa walikamatwa na nani wakapigwa na nani, wakapakiwa kwenye magari ya nani na kupelekwa kutelekezwa msituni?!

Unafikiri pia hakuna mashuhuda walioona?
Hiyo ni kazi ya nwandishi wa habari kupata taarifa za upande wa pili

Mfano niseme wewe unajiuza na korofi kwa wateja huwapi penzi baada ya kukulipa unatokomea mitini bila kusikia upande wako nitakuwa sahihi?
 
Ushahidi wa kutupwa umepata pande zote polisi na Chadema au umesilikiliza upande wa CHADEMA tu

ITV taarifa yao ya habari leo ilikuwa chini ya viwango vya uandishi wa habari
.hawakutoa nafasi upande wa pili wa Polisi ku jibu hoja
polisi wamekula kona hawakusema hilo
 
Litadumu hadi lini huo ukabila Kenya ? Halirekebishiki na wasomi kama Martha Karua nk

Waasisi wa ukabila Kenya walishakufa miaka kibao hawako duniani

Yeye Martha Karua kama generation ingine kafanya nini kuumaliza?
.watanzania tunamtaka arudi Kenya aka brain storm namna ya kumaliza ukabila nchini kwake badala ya kuparamia mambo ya Tanzania
Hakuna tofauti na Tanzania ambapo ccm inaendesha ubaguzi na unyanyasaji wa wananchi kwa misingi ya itìkadi za kisiasa
 
Kama wakili Asimane kutetea kumalizika ukabila Kenya kwanza
Wewe chawa mbona husimamii kumaliza ubaguzi wa ccm kwa wananchi wa Tanzania kabla ya kuanza kumshambulia wakili msomi Martha Karua anayejitolea kutetea Watanzania wanyonge wanao onewa na ccm?!
 
Back
Top Bottom