Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Shotocan bwana mi naona bro wewe uko hapa kubishana tu.Kwa hiyo kama umeona mfano ukahojiwa kuwa wametupwa na nani na utoe ushahidi unao?
Sawa Bwana tunawaachie nyie wenye Nchi.
Shotocan bwana mi naona bro wewe uko hapa kubishana tu.Kwa hiyo kama umeona mfano ukahojiwa kuwa wametupwa na nani na utoe ushahidi unao?
💯Gangaster Republic
This woman is brutal, cruel, sadist barbaric in nature! Think she was married at 18, and she is among poligamany marriage can she care for these tortured Upendo Kileo? No. She cares for only one thing!Hii ni aibu! Hii ni fedheha kwa jeshi letu la polisi! Hii imevunja rekodi ya dunia kwa polisi kuwakamata "wahalifu" na kuwatupa porini badala ya kuwaweka mahabusu! Eti polisi wa Tanzania wanatupa raia wao pori la Mabwepande waliwe au waumizwe na wanyama wakali!
Hii ni aibu kwa Rais Samia kuongoza jeshi la kigaidi lisilo na maadili! Ni ajabu kwa dunia Rais Samia kuendelea kumuacha IGP Wambura ofisini! Ni fedheha kwa Tanzania Jumanne Murilo kuwa ofisini hadi muda huu! Chalamila anangoja nini ofisini!
Hili Jeshi la polisi la Tanzania tofauti na majeshi yote ya kigaidi duniani ambayo yakiteka raia yanawatunza na kuanza kudai fedha za kuwakomboa jeshi la kigaidi la Tanzania linawatupa porini wamezwe na chatu na kuliwa na simba!
Ni aibu ya Karne!
Aibu yako Samia!
Hii ni aibu! Hii ni fedheha kwa jeshi letu la polisi! Hii imevunja rekodi ya dunia kwa polisi kuwakamata "wahalifu" na kuwatupa porini badala ya kuwaweka mahabusu! Eti polisi wa Tanzania wanatupa raia wao pori la Mabwepande waliwe au waumizwe na wanyama wakali!
Hii ni aibu kwa Rais Samia kuongoza jeshi la kigaidi lisilo na maadili! Ni ajabu kwa dunia Rais Samia kuendelea kumuacha IGP Wambura ofisini! Ni fedheha kwa Tanzania Jumanne Murilo kuwa ofisini hadi muda huu! Chalamila anangoja nini ofisini!
Hili Jeshi la polisi la Tanzania tofauti na majeshi yote ya kigaidi duniani ambayo yakiteka raia yanawatunza na kuanza kudai fedha za kuwakomboa jeshi la kigaidi la Tanzania linawatupa porini wamezwe na chatu na kuliwa na simba!
Ni aibu ya Karne!
Aibu yako Samia!
Sijui ametoa wapi ujasiri wa kuhutubia taifa kwa uovu huuMajambazi wa mama
Mjinga wewe. Ushahidi gani unaulizq hapa? Kama hata ulioneshwa kura zilizoingizwa kwenye masandarusi baada ya kupigwa siku mbili kabla na wewe unasema TUME YA UCHAGUZI NI HURU. hata ukipewa uchaguzi toka mbinguni utaukataa kwasababu ya UJINGA WAKO WA KIHALAIKIUna ushahidi hakikika au unasikiliza upande mmoja? Tu wa CHADEMA?
Unadhani anafurahiia wala hawafurahii lakini yeye POLISI asipo fanya vile aanafanyiwa yeye vile.Watu ,, wazidi kupambana kuiondoa serikali ya wadhalimu.Mtu anaachia mbwa wamle binadamu afu anafurahia aiseee,🤔
Samia hajastuka wala kusikitika!Ukatili kwa sasa ni ibada kwa Chama dola,usishangae sana sio ajabu wamekutana na kupongezana kwa ukatili huo.