Hii imevunja rekodi ya dunia kwa polisi kuwakamata "wahalifu" na kuwatupa porini

Wewe chawa mbona husimamii kumaliza ubaguzi wa ccm kwa wananchi wa Tanzania kabla ya kuanza kumshambulia wakili msomi Martha Karua?!
Wakili.msomi Martha Karua usomi wake kama haumalizi ukabila Kenya hana cha usomi wowote

Kununua vyeti tu
Msomi gani anashindwa kumaliza ukabila Kenya?

Tanzania wasomi wetu tena makabila madogo.wakiongozwa na Nyerere kabila dogo mno ambalo linakaribia kufutika mbona alitumia usomi wake kumaliza ukabila ? Sembuse yeye msomi mkikuyu na wakikuyu wenzie wasomi kibao wanezagaa dunia nzima hadi watanzania wanatuponda kuwa elimu wametuzidi na kingereza chao kilichonyooka cha queens English sisi chetu kibovu sio kesi

Swali langu kwa Huyo anajiita msomi Martha Karua na wasomi wenzie wajiita wasomi kenya kuliko watanzania swali langu kwao moja tu .Ukabila Kenya na usomi wao wataumaliza lini?

Usomi ni kutafuta solution ya tatizo kubwa hilo lao la ukabila kenya hiyo midgrii yao na kingereza chao kizuri watanaliza lini? Na usomi wao koko?

Charity begins at home
 
🚮
Wewe chawa, jikite kwenye mada au kaanzishe uzi wako huko.

Hapa mjadala ni kuhusu policcm kuteka, kujeruhi, kuumiza na kutupa Watanzania wanyonge misituni.

Hakuna sheria inayoruhusu kutupa binadamu msituni
 
Mwambieni kwa Tanzania kwake kingereza chake kilichonyuoka cha malkia.na digrii zake akazitumie kenya kumaliza ukabila walio.nao

Tanzania hatuna haja na kingereza kilichonyooka cha wakenya chetu hiki kibovu tunaridhika nacho

Akawaongeleshe wakenya wenzie ambao hujidai na kingereza kuwa waache ukabila

Apeleke kingereza chake kenya
 
Ushahidi wa kutupwa umepata pande zote polisi na Chadema au umesilikiliza upande wa CHADEMA tu

ITV taarifa yao ya habari leo ilikuwa chini ya viwango vya uandishi wa habari
.hawakutoa nafasi upande wa pili wa Polisi ku jibu hoja
Taarifa ya polisi ilisema eti wamekamata marehemu coco beach maajabu ya dunia.
 
Hii ni aibu! Hii ni fedheha kwa jeshi letu la polisi! Hii imevunja rekodi ya dunia kwa polisi kuwakamata "wahalifu" na kuwatupa porini badala ya kuwaweka mahabusu! Eti polisi wa Tanzania wanatupa raia wao pori la Mabwepande waliwe au waumizwe na wanyama wakali!

Hii ni aibu kwa Rais Samia kuongoza jeshi la kigaidi lisilo na maadili! Ni ajabu kwa dunia Rais Samia kuendelea kumuacha IGP Wambura ofisini! Ni fedheha kwa Tanzania Jumanne Murilo kuwa ofisini hadi muda huu! Chalamila anangoja nini ofisini!

Hili Jeshi la polisi la Tanzania tofauti na majeshi yote ya kigaidi duniani ambayo yakiteka raia yanawatunza na kuanza kudai fedha za kuwakomboa jeshi la kigaidi la Tanzania linawatupa porini wamezwe na chatu na kuliwa na simba!

Ni aibu ya Karne!
Aibu yako Samia!
🤣🤣🤣🤣
 
Jana wamezurula na maiti wakitafuta mahali pa kuitupa na wananchi hawakuchoka wakaendelea kuwafuatilia hadi walipoipeleka mortuary!

Aibu kwa hawa Majambazi wa Samia!
 
Hii ni aibu! Hii ni fedheha kwa jeshi letu la polisi! Hii imevunja rekodi ya dunia kwa polisi kuwakamata "wahalifu" na kuwatupa porini badala ya kuwaweka mahabusu! Eti polisi wa Tanzania wanatupa raia wao pori la Mabwepande waliwe au waumizwe na wanyama wakali!

Hii ni aibu kwa Rais Samia kuongoza jeshi la kigaidi lisilo na maadili! Ni ajabu kwa dunia Rais Samia kuendelea kumuacha IGP Wambura ofisini! Ni fedheha kwa Tanzania Jumanne Murilo kuwa ofisini hadi muda huu! Chalamila anangoja nini ofisini!

Hili Jeshi la polisi la Tanzania tofauti na majeshi yote ya kigaidi duniani ambayo yakiteka raia yanawatunza na kuanza kudai fedha za kuwakomboa jeshi la kigaidi la Tanzania linawatupa porini wamezwe na chatu na kuliwa na simba!

Ni aibu ya Karne!
Aibu yako Samia!
Hii inapaswa kuingia kwenye Guiness book of records😀
 
Mwambieni kwa Tanzania kwake kingereza chake kilichonyuoka cha malkia.na digrii zake akazitumie kenya kumaliza ukabila walio.nao

Tanzania hatuna haja na kingereza kilichonyooka cha wakenya chetu hiki kibovu tunaridhika nacho

Akawaongeleshe wakenya wenzie ambao hujidai na kingereza kuwa waache ukabila

Apeleke kingereza chake kenya
Ni kawaida Waafrika kusaidiana wakati wanapopigania uhuru wao.

Ndiyo sababu hata Tanzania iliwasaidia sana wapigania uhuru wa South Africa, Angola, Msumbiji, nk wakati wanapambana kuwatoa wakoloni
 
Martha Karua anajua fika jinsi Tanzania kupitia Kikwete walivyomuomba asaidia kumaliza vurugu zao za kikabila zilizozalisha wakimbizi wa ndani ya Kenya

Ana nini huyo kusaidia watanzania mwambieni akamalize ukabila Kenya kati ya kabila lake la wakikuyu na wajauo na wakalenjin nk

Sio saizi yetu watanzania huyo
Hua nasemaga Raisi WA nchi hii hata akitoa bastola akaua MTU hadharani bado kuna watu watamsifia
 
Wakati mwengine dawa yao ni kuwabinya korodani tu, hakuna zaidi.
 
Ni kawaida Waafrika kusaidiana wakati wanapopigania uhuru wao.

Ndiyo sababu hata Tanzania iliwasaidia sana wapigania uhuru wa South Africa, Angola, Msumbiji, nk wakati wanapambana kuwatoa wakoloni
Martha Karua awasaidie kwanza wakenya wenzie kumaliza ukabila
 
Back
Top Bottom