Hii imevunja rekodi ya dunia kwa polisi kuwakamata "wahalifu" na kuwatupa porini

Hii ni aibu! Hii ni fedheha kwa jeshi letu la polisi! Hii imevunja rekodi ya dunia kwa polisi kuwakamata "wahalifu" na kuwatupa porini badala ya kuwaweka mahabusu! Eti polisi wa Tanzania wanatupa raia wao pori la Mabwepande waliwe au waumizwe na wanyama wakali!

Hii ni aibu kwa Rais Samia kuongoza jeshi la kigaidi lisilo na maadili! Ni ajabu kwa dunia Rais Samia kuendelea kumuacha IGP Wambura ofisini! Ni fedheha kwa Tanzania Jumanne Murilo kuwa ofisini hadi muda huu! Chalamila anangoja nini ofisini!

Hili Jeshi la polisi la Tanzania tofauti na majeshi yote ya kigaidi duniani ambayo yakiteka raia yanawatunza na kuanza kudai fedha za kuwakomboa jeshi la kigaidi la Tanzania linawatupa porini wamezwe na chatu na kuliwa na simba!

Ni aibu ya Karne!
Aibu yako Samia!
Watekaji wamejulikana Rasmi
 
Polisi ni jeshi la ccm na ni adui wa raia sio jeshi la wananchi tupambane nao tukipata nafasi.
 
This is too much na ni dharau kubwa sana kwa watanganyika.
 
Hii ni aibu! Hii ni fedheha kwa jeshi letu la polisi! Hii imevunja rekodi ya dunia kwa polisi kuwakamata "wahalifu" na kuwatupa porini badala ya kuwaweka mahabusu! Eti polisi wa Tanzania wanatupa raia wao pori la Mabwepande waliwe au waumizwe na wanyama wakali!

Hii ni aibu kwa Rais Samia kuongoza jeshi la kigaidi lisilo na maadili! Ni ajabu kwa dunia Rais Samia kuendelea kumuacha IGP Wambura ofisini! Ni fedheha kwa Tanzania Jumanne Murilo kuwa ofisini hadi muda huu! Chalamila anangoja nini ofisini!

Hili Jeshi la polisi la Tanzania tofauti na majeshi yote ya kigaidi duniani ambayo yakiteka raia yanawatunza na kuanza kudai fedha za kuwakomboa jeshi la kigaidi la Tanzania linawatupa porini wamezwe na chatu na kuliwa na simba!

Ni aibu ya Karne!
Aibu yako Samia!
1: Hivi kumbe wahalifu wanatakiwa kutupwa porini?
2: Hivi ni Kanuni gani ilitumika?
 
Jeshi la Polisi ni walinzi wa raia na mali zao au ni wahalifu na watekaji wa raia na watuhumiwa wasio na hatia na kuwatupa porini badala ya kuwafikisha mahali salama ikiwepo kituo cha Polisi.

Hiyo imefahamika ni baada ya makada na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kukamatwa na Jeshi hilo wakati wakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakifuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho Mh. Tundu Antiphas Lissu.

Baada ya kukamatwa na jeshi hilo la Polisi walipelekwa kusikojulikana na baadaye kuokotwa kwenye msitu wa Mabwepande wakiwa wameumizwa vibaya sehemu mbalimbali za mwili.
 
Hii ni aibu! Hii ni fedheha kwa jeshi letu la polisi! Hii imevunja rekodi ya dunia kwa polisi kuwakamata "wahalifu" na kuwatupa porini badala ya kuwaweka mahabusu! Eti polisi wa Tanzania wanatupa raia wao pori la Mabwepande waliwe au waumizwe na wanyama wakali!

Hii ni aibu kwa Rais Samia kuongoza jeshi la kigaidi lisilo na maadili! Ni ajabu kwa dunia Rais Samia kuendelea kumuacha IGP Wambura ofisini! Ni fedheha kwa Tanzania Jumanne Murilo kuwa ofisini hadi muda huu! Chalamila anangoja nini ofisini!

Hili Jeshi la polisi la Tanzania tofauti na majeshi yote ya kigaidi duniani ambayo yakiteka raia yanawatunza na kuanza kudai fedha za kuwakomboa jeshi la kigaidi la Tanzania linawatupa porini wamezwe na chatu na kuliwa na simba!

Ni aibu ya Karne!
Aibu yako Samia!
1:Kuwang'atisha watu Mbwa?
2:Kuwavua nguo Wanawake?
3:Kuwavunja Miguu?
4:Kuwatupa porini?
5:Kisa Nini?
Mimi nasikiliza Hoja za Chadema kuwa:
1:Wapewe tume huru ya Uchaguzi
2:Wateule wa Rais wasimamie uchaguzi
3😛olisi wasisaidie Kuiba kura,kupiga watu na kuua watu siku za uchaguzi
4:Wagombea wa Upinzani wasienguliwe Kwa sababu ambazo hazina Msingi
5:Mawakala wa Upinzani wasibaguliwe nk.
Maswali yangu:
1: Maswali haya ni magumu sana kuwajibu watanzania kweli?
2:CCM wamefanya Kila zuri kutekeleza ilani Yao, ndiyo waogope uchaguzi hivi kweli?
3:Matumizi haya ya nguvu ndiyo ni mwafaka kweli?
Labda Mimi ndiyo sielewi
 
CCM imewageuza walinzi kuwa majambazi duh! Inafikirisha lkn👿
 
Hii ni aibu! Hii ni fedheha kwa jeshi letu la polisi! Hii imevunja rekodi ya dunia kwa polisi kuwakamata "wahalifu" na kuwatupa porini badala ya kuwaweka mahabusu! Eti polisi wa Tanzania wanatupa raia wao pori la Mabwepande waliwe au waumizwe na wanyama wakali!

Hii ni aibu kwa Rais Samia kuongoza jeshi la kigaidi lisilo na maadili! Ni ajabu kwa dunia Rais Samia kuendelea kumuacha IGP Wambura ofisini! Ni fedheha kwa Tanzania Jumanne Murilo kuwa ofisini hadi muda huu! Chalamila anangoja nini ofisini!

Hili Jeshi la polisi la Tanzania tofauti na majeshi yote ya kigaidi duniani ambayo yakiteka raia yanawatunza na kuanza kudai fedha za kuwakomboa jeshi la kigaidi la Tanzania linawatupa porini wamezwe na chatu na kuliwa na simba!

Ni aibu ya Karne!
Aibu yako Samia!
Waulizwe vizuri.Yawezekana mahabusu zao mpya ni Mabwepande!
 
Hakuna haja ya vituo vya police, mahakama wala magereza, ukikamatwa ni hukumu papo kwa papo.

Ukipona utakutwa polini ukifa utakutwa polini kama wanyama hawajageuza kuwa msosi.

Hata hawa ambao hawaonekani hadi leo sina hakika kuwa kuna sehemu wapo bali walishatafunwa na wanyama wakali kitambo kirefu sana.

Ila mwisho wao huwa mbaya sana na hata huyo wanaemfurahisha huwa hawakumbuki tena.
 
Back
Top Bottom