Una ushahidi hakikika au unasikiliza upande mmoja? Tu wa CHADEMA?Hii ni aibu! Hii ni fedheha kwa jeshi letu la polisi! Hii imevunja rekodi ya dunia kwa polisi kuwakamata "wahalifu" na kuwatupa porini badala ya kuwaweka mahabusu! Eti polisi wa Tanzania wanatupa raia wao pori la Mabwepande waliwe au waumizwe na wanyama wakali!
Hii ni aibu kwa Rais Samia kuongoza jeshi la kigaidi lisilo na maadili! Ni ajabu kwa dunia Rais Samia kuendelea kumuacha IGP Wambura ofisini! Ni fedheha kwa Tanzania Jumanne Murilo kuwa ofisini hadi muda huu! Chalamila anangoja nini ofisini!
Hili Jeshi la polisi ni jeshi la kigaidi! Tofauti na majeshi yote ya kigaidi duniani ambayo yakiteka raia inawatunza na kuanza kudai fedha za kuwakomboa jeshi la kigaidi la Tanzania linawatupa porini wamezwe na chatu na kuliwa na simba!
Ni aibu ya Karne!
Aibu yako Samia!
Wametupwa na nani?Una ushahidi hakikika au unasikiliza upande mmoja? Tu wa CHADEMA?
Ushahidi wa kutupwa umepata pande zote polisi na Chadema au umesilikiliza upande wa CHADEMA tuWametupwa na nani?
ungeweka ushahidi ingekua na mashiko zaidi kiongoziHii ni aibu! Hii ni fedheha kwa jeshi letu la polisi! Hii imevunja rekodi ya dunia kwa polisi kuwakamata "wahalifu" na kuwatupa porini badala ya kuwaweka mahabusu! Eti polisi wa Tanzania wanatupa raia wao pori la Mabwepande waliwe au waumizwe na wanyama wakali!
Hii ni aibu kwa Rais Samia kuongoza jeshi la kigaidi lisilo na maadili! Ni ajabu kwa dunia Rais Samia kuendelea kumuacha IGP Wambura ofisini! Ni fedheha kwa Tanzania Jumanne Murilo kuwa ofisini hadi muda huu! Chalamila anangoja nini ofisini!
Hili Jeshi la polisi Tofauti na majeshi yote ya kigaidi duniani ambayo yakiteka raia inawatunza na kuanza kudai fedha za kuwakomboa jeshi la Tanzania linawatupa porini wamezwe na chatu na kuliwa na simba!
Ni aibu ya Karne!
Aibu yako Samia!
Kitu ninachokipenda Hata wao japo wanamtetea mtawala lakini na wao wanatesekaHii ni aibu! Hii ni fedheha kwa jeshi letu la polisi! Hii imevunja rekodi ya dunia kwa polisi kuwakamata "wahalifu" na kuwatupa porini badala ya kuwaweka mahabusu! Eti polisi wa Tanzania wanatupa raia wao pori la Mabwepande waliwe au waumizwe na wanyama wakali!
Hii ni aibu kwa Rais Samia kuongoza jeshi la kigaidi lisilo na maadili! Ni ajabu kwa dunia Rais Samia kuendelea kumuacha IGP Wambura ofisini! Ni fedheha kwa Tanzania Jumanne Murilo kuwa ofisini hadi muda huu! Chalamila anangoja nini ofisini!
Hili Jeshi la polisi Tofauti na majeshi yote ya kigaidi duniani ambayo yakiteka raia inawatunza na kuanza kudai fedha za kuwakomboa jeshi la Tanzania linawatupa porini wamezwe na chatu na kuliwa na simba!
Ni aibu ya Karne!
Aibu yako Samia!
Hakuna anaependa ilo kaa ukijuaMtu anaachia mbwa wamle binadamu afu anafurahia aiseee,🤔
Kwani hao Majambazi wa Mama wamekanusha?Una ushahidi hakikika au unasikiliza upande mmoja? Tu wa CHADEMA?
Ushahidi uko wapi??, source ya habariHakuna anaependa ilo kaa ukijua
Polisi sio wakulaumiwa walaumiwe viongozi wenu wanaopambania ugali wao na kutoa amriPolisi ndio wamekuwa wavunja sheria.🤔🫣
🐷🐷🐷Eti wanasubiri nini?
Tarehe 28 mje tena muone kipigo chake
Mimi nimeona tiktok ila mm binafsi sipendezwi na ilo hata kidogoUshahidi uko wapi??, source ya habari
Link??
Jambazi wa Mama!Martha Kalua anajua fika jinsi Tanzania kupitia Kikwete walivyomuomba asaidia kumaliza vurugu zao za kikabila zilizozalisha wakimbizi wa ndani ya Kenya
Ana nini huyo kusaidia watanzania mwambieni akamalize ukabilq Kenya kati ya kabila lake la wakikuyu na wajqluo na wakalenjin
Sio saizi yetu watanzania huyo
Nani kapost?? Nikaone au nisaidie kuweka linkMimi nimeona tiktok ila mm binafsi sipendezwi na ilo hata kidogo