Hii ina maana gani ni positive au negative?

View attachment 2731104nimetoka kumpina girl wangu jana usiku sasa mpaka sasaiv sijaelewa mm sikusoma sayansi ajanipa majibu sahihi kwahiyo waungwana nisaidieni huyu kaungua ua ili nijue niendelee na safari au niishie njiani?
😅😅 Arudi kupima hata mala tatu.. hapo kidude kimeduwaa.. hakielewi kama imo au haimo ..
 
View attachment 2731104nimetoka kumpina girl wangu jana usiku sasa mpaka sasaiv sijaelewa mm sikusoma sayansi ajanipa majibu sahihi kwahiyo waungwana nisaidieni huyu kaungua ua ili nijue niendelee na safari au niishie njiani?
Hii ni POSITIVE, ila nenda hospital kwenye vipimo zaidi mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…