Hii ina maana gani ni positive au negative?

Hii ina maana gani ni positive au negative?

ndomaana kilasiku mnaambiwa mwende vituo vya afya kuhakiki ayo majibu.

kama ayo majibu apo sio lazma uyo mtu atakuwa +ve. saabu ukijipima mwenyewe nyumbani hlf ukasoma majibu nje ya muda unaotakiwa, itaonesha +ve wkt pengine uyo mtu ni -ve.

ila sio kesi kivile vyovyote iwavo maisha lazma yaendelee.
Sawa
 
Kizazi cha 2000 sidhani hata kinaelewa ngoma kwa undani wake mkuu. 90s nilikuwa nashuhudia vitu vya hatari, mtu kanyooka ubao ukasome aisee!!
Kibaya zaidi ilikuwa ni kukimbiwa kwa hao wagonjwa, maana wengi walipoupata walitaka kuambukiza wenzao kwa makusudi.
 
Kuna mzee yeye kila akipima ni mzima wa afya na yupo hapa hapa JF. Ila ni muathirika na anatumia mbaazi, juzi juzi nimepata mashtaka yake kamuingiza mtu gridi ya taifa. Hivyo vipimo usiviamini kabisa.
🙉🙉kwani hivi vipimo vinadanganya au
 
Back
Top Bottom