Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #201
Ata ukimwi pia unapitakwahiyo ulivyompima ukamwangalia tu kwa macho na hamjakutana for 6 good years. acheni uzinzi nyie,mrudieni Mungu. Dunia na mambo yake yote yanapita, ngono inapita, pesa zinapita, majumba yanapita kila kitu ni ubatili mtupu, ishi kwa kuambatana na Mungu.
Sawa ww ulie mkumbatia Mungu mbona ukipewa mbususu ya bure unachakata kama kesho utopewa tena?