Hii ina maana gani ni positive au negative?

Hii ina maana gani ni positive au negative?

Mshikaji kajipima alafu anakataa majibu yake anasingizia sijui demu😂😂😂, mbususu ni hatari kwa afya ya mwili na akili lakini lazima tuzichakate.
Kwa akili ya kawaida tu kipimo kingekuwa changu ningeweza kukiweka hapa? Au uho muda wa kuweka hapa si ningekuwa nalia na ukuta 😂
 
View attachment 2731104nimetoka kumpina girl wangu jana usiku sasa mpaka sasaiv sijaelewa mm sikusoma sayansi ajanipa majibu sahihi kwahiyo waungwana nisaidieni huyu kaungua ua ili nijue niendelee na safari au niishie njiani?
ndomaana kilasiku mnaambiwa mwende vituo vya afya kuhakiki ayo majibu.

kama ayo majibu apo sio lazma uyo mtu awe +ve. saabu ukijipima mwenyewe nyumbani hlf ukasoma majibu nje ya muda unaotakiwa, itaonesha +ve wkt pengine kiukweli wew ni -ve.

ila sio kesi kivile vyovyote iwavo maisha lazma yaendelee.
 
Back
Top Bottom