Hii ina maana gani ni positive au negative?

Hii ina maana gani ni positive au negative?

Hata kama nimezeeka na macho yangu hayaoni sawasawa ila majibu kwa hicho kipimo yanaonesha Positive.

Kwahiyo kama ni huyo mwenzio au ni wewe uliyepima, kuna haja uwahi Kituo cha afya kilicho jirani nawe kwaajili ya kuanza dozi mapema.

Kumbuka, Kupata Vizuri vya Ukimwi siyo mwisho wa maisha.

Muhimu uzingatie matumizi sahihi ya hiyo dozi, lishe bora, mazoezi lakini pia upunguze kushiriki ngono mara kwa mara.
 
Back
Top Bottom