Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Kila mtu atakufa unaweza ukafa hata kabla yakeUkisema ni wewe kuna kosa gani
Ngono zembe haijawahi kumuacha mtu salama
RIP in advance
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mtu atakufa unaweza ukafa hata kabla yakeUkisema ni wewe kuna kosa gani
Ngono zembe haijawahi kumuacha mtu salama
RIP in advance
Mkuu,Kuanza dozi mapema n nzuri ikiwa virusi bado viko kwenye stage ndogo ukianza viko kwenye stage kubwa kama 3 or 4 uwezekan wa kupata magonjwa yemelez n mkubwa na utatumia gharama kubwa kukontroll omnivious infection
Ww acha kunichulia mzee 😂Hahahaha...................inapofikia hiyo stage hata mb****00 inagoma kusimama hata umwone demu mkali kama Cleopatra wa enzi ya Misri ya Kale
Usiogope, muhimu uzingatie ushauri wangu 🤪
Ukipata stress, immunity inashuka.Mkuu,
Inakuwaje mtu anaweza kuishi nao 10yrs lakini siku akipima tu matatizo yanaanzia hapo?
Stress zinaua mapema kuliko ugonjwa nd maana unatakiwa ujikubali nd unaweza ishi miaka ming in case kuna watu wanatumia dawa zaid ya miaka 20 sasaMkuu,
Inakuwaje mtu anaweza kuishi nao 10yrs lakini siku akipima tu matatizo yanaanzia hapo?
Hizi stress za kawaida za maisha hazitoshi kuwapa wazee wa kazi kujichukulia sheria?Ukipata stress, immunity inashuka.
Hapo ndipo "wazee wa kazi" wanajichukulia ubabe.
Kwahiyo unataka kusemaje Mkuu?Muwe makini na hivyo vipimo maana ukichukua damu ya mbuzi nakuiweka hapo inaonyesha mbuzi ni muathirika. Na ukichukua damu ya ng'ombe inaonyesha sio muathirika.
Utakuta na huyu alikuw anajadili Bandari.Ujinga ujinga na ujinga.View attachment 2731104nimetoka kumpina girl wangu jana usiku sasa mpaka sasaiv sijaelewa mm sikusoma sayansi ajanipa majibu sahihi kwahiyo waungwana nisaidieni huyu kaungua ua ili nijue niendelee na safari au niishie njiani?
Hizi n ndogo sanaHizi stress za kawaida za maisha hazitoshi kuwapa wazee wa kazi kujichukulia sheria?
Ni Gonjwa la kiimani, Ila In reality haipoMkuu,
Inakuwaje mtu anaweza kuishi nao 10yrs lakini siku akipima tu matatizo yanaanzia hapo?
Mmh mkuu haya mastress yanavyotufanya wengine hayatoshi kutuua kweli?Hizi n ndogo sana
Ukimwi haupo ni nadharia 😁Ww acha kunichulia mzee 😂
Hahaha................miaka ile Ukimwi umepambana moto ilikuwa kila baada ya nyimbo mbili redioni lazima usikie tangazo juu ya HIV.Ww acha kunichulia mzee 😂
Unataka kujichukulia sheria?Mi bwana likinijia kichwani la ngoma hata mjomba anakosa ushirikiano, na sie wengine ndomu ni mtihani sana wakuu..daaah😭😭😭
Kizazi cha 2000 sidhani hata kinaelewa ngoma kwa undani wake mkuu. 90s nilikuwa nashuhudia vitu vya hatari, mtu kanyooka ubao ukasome aisee!!Hahaha................miaka ile Ukimwi umepambana moto ilikuwa kila baada ya nyimbo mbili redioni lazima usikie tangazo juu ya HIV.
Siku hizi kila baada ya wimbo mmoja redioni utasikia tangazo la Kilevi(Pombe) au betting
Kwahiyo Vijana mmejisahau kuwa Ukimwi bado upo.
Wa siku hizi haukondeshi sasa, maana watu walijipimia kwa machoHahaha................miaka ile Ukimwi umepambana moto ilikuwa kila baada ya nyimbo mbili redioni lazima usikie tangazo juu ya HIV.
Siku hizi kila baada ya wimbo mmoja redioni utasikia tangazo la Kilevi(Pombe) au betting
Kwahiyo Vijana mmejisahau kuwa Ukimwi bado upo.