Hii ina maana gani ni positive au negative?

Hii ina maana gani ni positive au negative?

Kwahiyo unataka kusemaje Mkuu?

Hujatoa ufafanuzi kwamba akiweka damu ya binadamu itaonesha negative au Positive?

Kumbukeni siku hizi hakuna ule Ukimwi wa kukukondesha labda utamwona kwa Macho kama zamani.

Siku hizi unakutana na demu mkali kinoma, kumbe ikifika saa nne usiku lazima ameze dawa.

Chukueni tahadhali
We mzee acha ubishi jaribu siku uchukue damu ya mbuzi uipime kwenye kale kakipimo utaleta mrejesho.
 
Kuna mdau wangu huwa natamani sana kumuuliza, "eti ma'am upo salama kweli"?....naanzaje sasa🤣🤣🤣🤣
Ukimwi kupata kazi sana mtaalamu.. ila ukimwi hupatikana siku moja tu katika maisha ya binadamu.. ukiikwepa hiyo siku hutokuja upata tena.. hadi unaingia kaburini.. ( ukimwi hupatikana siku moja tu katika maisha ya mtu, ukikwepa hiyo siku hutokaa ukaupata tena ).
 
Fafanua chief, fafanuaaaa!🤣🤣
 
Iv hii nguvu mnaipataga wap ya kufika geto ndo mnaanza kupima, kwaiyo badala ya kudinyana mnakaa kungojea majb duuuh kwel mnakazi

Mnataka kudinyana na hamtaki kutumia kondom why msipange sku mkaenda zahanat mkapima tena kwa vipimo vyakueleweka ili ikifka sku ya kudinyana ni kudinyana tu

Ebu tu imagine mmefka geto mnapimana zen mmoja wenu anakutwa anangoma vp ndo kudinyana kunaishia apo na mizuka ishapanda
 
Hata kama nimezeeka na macho yangu hayaoni sawasawa ila majibu kwa hicho kipimo yanaonesha Positive.

Kwahiyo kama ni huyo mwenzio au ni wewe uliyepima, kuna haja uwahi Kituo cha afya kilicho jirani nawe kwaajili ya kuanza dozi mapema.

Kumbuka, Kupata Vizuri vya Ukimwi siyo mwisho wa maisha.

Muhimu uzingatie matumizi sahihi ya hiyo dozi, lishe bora, mazoezi lakini pia upunguze kushiriki ngono mara kwa mara.
Ushauri mzuri sanaaa 👊👊
 
Back
Top Bottom