Hii ina maana gani ni positive au negative?

Hii ina maana gani ni positive au negative?

Kizazi cha 2000 sidhani hata kinaelewa ngoma kwa undani wake mkuu. 90s nilikuwa nashuhudia vitu vya hatari, mtu kanyooka ubao ukasome aisee!!
Ukimwi wa miaka ile ilikuwa hatari sana Mkuu.

Unakutana na muathirika kwa jinsi alivyoisha utasema "Mimi kuanzia leo nitakuwa Paroko" au nitahamia kuwa Mwanachama wa akina dronedrake wazee wa Chaputa 🙌

Maana hali ilikuwa inatisha mno, hadi ukiona Uume unasimama simama hovyo unatamani Uchukue Kisu uufyekelee mbali kuepusha shali 😅🙌
 
Wa siku hizi haukondeshi sasa, maana watu walijipimia kwa macho
Ndiyo mtihani ulipo

Kuna mtu mmoja nilisoma maoni yake hapa Jamvini anasema eti "ili usipate maambukizi ukimaliza kut****mbana Uwahi bafuni uoshe na Maji ya baridi"

Nikasema huyu mtu ngoja apigwe na Kitu kizito akili imkae sawa.

Kuambiwa tu una HIV unaweza kukuta unazimia kwa presha, hujakaa sawa unakuta haja ndogo inakutoka bila hata kujijua 🙌🏃🏃🏃
 
Back
Top Bottom