Hii ina maana gani ni positive au negative?

Sawa
 
Kizazi cha 2000 sidhani hata kinaelewa ngoma kwa undani wake mkuu. 90s nilikuwa nashuhudia vitu vya hatari, mtu kanyooka ubao ukasome aisee!!
Kibaya zaidi ilikuwa ni kukimbiwa kwa hao wagonjwa, maana wengi walipoupata walitaka kuambukiza wenzao kwa makusudi.
 
Kuna mzee yeye kila akipima ni mzima wa afya na yupo hapa hapa JF. Ila ni muathirika na anatumia mbaazi, juzi juzi nimepata mashtaka yake kamuingiza mtu gridi ya taifa. Hivyo vipimo usiviamini kabisa.
🙉🙉kwani hivi vipimo vinadanganya au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…