Uchaguzi 2020 Hii inakatisha tamaa kwa Dkt. Magufuli

Mungu akuongoze vyema kwa kuwaza mabaya, Rais ni mpakwa mafuta wa Bwana ukimuwazia kumuua unakuwa hulitakii mema Taifa, kumbuka JPM ni matokeo ya maombi ya watanzania wakilalamika kwamba JK amekuwa mpole sana.Makanisa na Misikiti watu wakaomba kupata Rais Mkatili, Mungu kajibu.Usiombe auawe, omba vizuri maana sala yako ikitimizwa ndio utajua maana ya MPAKWA MAFUTA ni nini.Namuombea maisha marefu JPM, abarikiwe, afunguliwe ufahamu, AMEN.
 
Tatizo katiba yetu ni mbovu . Hadi sasa, ni mgombea lakini bado anawaita wasimamizi wasaidizi (deds) na kuteta nao, achilia mbali kuwa ni mteuzi wao !!. Katiba yetu siyo
Nitajie nchi ambayo Rais anayetetea nafasi yake huwa anaachana na majukumu yake ya Urais pale inapofikia kipindi cha Uchaguzi mkuu.
 
  • kibaya zaidi amekutana na mgombea ambaye ni saizi yake kihoja na kiutu
  • kibaya zaidi huwezi kumchafua lissu kwa sababu CV yake ya kuwapigania walalahoi inafahamika tofauti na ilivyokua kwa lowassa.
  • unapaswa uwe na roho ya kikatili kumchagua kiongozi ambaye ameshindwa kuwakamata watesaji wa Tundu Lissu
 
Ukiona mtu anakataliwa ujue hafanyi mazuri kwa watu.
Alipata urais akafikiri jii nchi ni mali yake. Akawa na jeuri na kiburi. Kajaza ndugu zake kila mahali kama ana gawa nyama aliyo chinja ya ukoo.
Kawagawa Watanzania kwa kanda, kabila na koo. Kawanyima wengine maendeleo na kuwaita wezi.. Sasa tuna mtaka atakae jali Watanzania wote kwa mujibu wa kiapo chake.
 
Magufuli aliwekeza zaidi kwenye propoganda,barabara nyingi bado zipo pale pale alipoishia kikwete,na ujenzi wa reli ndo kwanza umeanza,kwa kifupi he has done nothing
mtanzania wa kwanza uliyeonyesha uelewa wa juu ,huu jamaa aliwekeza kwenye propaganda na anania ya kitia nchi mfukoni,ni outdated president ,mapicha ya akina sadam Hussein,Gadafi yapo kichwani mwake wakati dunia imeshaondoka huko,amezungukwa na wasaidizi waoga wa maisha maana wale wasio waoga wa meisha wengine watu wake wakaribu kawatimulia mbali kabaki peke yake na juniors aliowapromote kwa nguvu,sasa hakuna wakumshauri wala kumpa mbinu za campaign kwenye uchaguzi,mpumbavu badala afanye campaign kajifungia na madeed na tume kupanga crime huku anapoteza muda na kuloose battle ground,anataka kazi zote afanye mwenyewe,
Huyu mtu azibitiwe ataleta maafa kwasababu uelewa wake kwenye mambo ya kimataifa ni mdogo mno.
 

Umefanya vizuri kutojipendekeza, lakini watanzania hatutaki sifa ya kabila iwe kigezo cha kuchagua kiongozi. Ni muhimu Watanzania wajue Una elimu gani, uzoefu uliotukuka na mabadiliko ulio yafanya au mchango wako kwako wewe binafsi na kwa jamii kwa wakati huu.

Sifa ya kuteuliwa ni kwa wanyonge tuu kwenye siasa (mediocrity) , tunatakiwa tuamini uwezo wetu na uwe kwa mfumo wa Meritocracy.
 
Mzeee ana mawazo sana kachoka sana
 
Ameishiwa pozi
 
Kwani nani amekwambia namwomba auawe? Hukusoma communication skills ya SUA (SC101) eeeh? Hapo nimetumia non verbal cues! Sikumaanisha kumwua kwa kumtoa roho, nilokiwa namaanisha apigwe chini kwa kura!
 
.
Ni vema ukaandika haya baada ya 28. 10 .2020, maana unayoandika Nia sawa na usiku was Giza.
Kwa mihemko yako wadhani watu wote wanamchukia JPM.
Subiri, time will tell.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…