Hii inamaanisha nini? BRICS Watoa Wito wa kukomeshwa Vita ya Urusi na Ukraine na pia Mash. Ya Kati

Hii inamaanisha nini? BRICS Watoa Wito wa kukomeshwa Vita ya Urusi na Ukraine na pia Mash. Ya Kati

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Screenshot_2024-10-23-16-56-51-098_com.instagram.android~2.jpg
 
Hakuna mfumo wa malipo isiyokuwa ya kinyonyaji, kila mbabe atanyonya mnyonge wake...ndani ya BRICS lazima kuna dude mmoja atawanyonya wengine kama wanavyomlalamikia USA kuwanyonya.
Wajinga ndiyo waliwao
USA alijisahau, acha na mfumo mwingine uje Ili watu wawe na option hata kama nikunyonywa Kila mtu achague anyonywe na yupi mwenye unafuu.
 
Unaishi dunia gani,Iran na waarabu hawapatani!?
Wewe ndio unaish ulimwengu wako. Unafikiri hiyo vita hapo Yemen ilikuwa inasababu gan. Au mchina mwaka jana aliwapatanisha nini Saudia na Iran au ushajiuliza miaka karibu 6 mahujaji kutoka Iran walikuwa hawaend Saudia kwanini
 
India na China siwamemaliza juzi ugomvi wao wa mipaka?. Iran na warabu wepi hawaelewani?.
Ugomvi wa mpaka mpaka kesho haujaisha kaka. Na waarabu wanahofia nguvu ya shia inayokuwa ndio maana wako magharibi zaidi na India na magharibi ni kitanda na shuka.
 
Ugomvi wa mpaka mpaka kesho haujaisha kaka. Na waarabu wanahofia nguvu ya shia inayokuwa ndio maana wako magharibi zaidi na India na magharibi ni kitanda na shuka.
Jitahidi kua updated Kuhusu mipaka kati ya India na China.Kuhusu waarabu wanahifia vipi nguvu ya Shia huku baadhi ya shia huko Syria, Iraq, Lebanon nao ni warabu?. Vipi shia wa Iran anavyowasaidia Suni wa Hamas?. Mbona Suni wenzie wa Saudia , Qatar, UAE hawawasaidia Suni wenzao wa Hamas Ili kupunguza nguvu ya Shia ambao wengi wao ni Iran?.
 
Shetani ana anza kujitambua.
Urusi ndio imeivamia Ukraine na kusaidia na hizo nchi zote za BRICKS, sasa wao wakiacha kuipiga na kuiteka Ukraine vita inaisha hata kabla ya bao la asubuhi halijaisha.
The same, Magaidi wa kiislamu wa HAMAS wamepewa offer, wakiWAACHIA MATEKA 200 WA ISRAEL VITA INAISHA, isipokuwa tu Kule LEBANON milima ya Golan na sehemu za kusini sijui kama Wayahudi wataziachia hivi hivi.
 
Jitahidi kua updated Kuhusu mipaka kati ya India na China.Kuhusu waarabu wanahifia vipi nguvu ya Shia huku baadhi ya shia huko Syria, Iraq, Lebanon nao ni warabu?. Vipi shia wa Iran anavyowasaidia Suni wa Hamas?. Mbona Suni wenzie wa Saudia , Qatar, UAE hawawasaidia Suni wenzao wa Hamas Ili kupunguza nguvu ya Shia ambao wengi wao ni Iran?.
Ushajiuliza kwanini dalai lama anaishi India na wafuasi wake. Nachokuambia mpaka ule mpaka kesho hauko sawa ndio maana hakuna askar anaruhusiwa kubeba silaha pande zote. Kama waarabu na wairan hujui ugomvi wao basi mi naishia hapo
 
USA alijisahau, acha na mfumo mwingine uje Ili watu wawe na option hata kama nikunyonywa Kila mtu achague anyonywe na yupi mwenye unafuu.
Huo mfumo tangu muanze kusema uje ni miaka sasa inapita lkn hamna kitu, brics ni kama puto kuuuubwa lkn ndani limejaa upepo tu.
 
Back
Top Bottom