Hii inamaanisha nini? BRICS Watoa Wito wa kukomeshwa Vita ya Urusi na Ukraine na pia Mash. Ya Kati

Hii inamaanisha nini? BRICS Watoa Wito wa kukomeshwa Vita ya Urusi na Ukraine na pia Mash. Ya Kati

India na china hawana mahusiano mazuri, waarabu na muirani hawaelewani cjui itakuwaje
Sio lazima katika miungano kuwa wote lazima wawe na mahusiano mazuri.
Nchi zinachoangalia ni maslahi ktk umoja au kikundi
 
USA alijisahau, acha na mfumo mwingine uje Ili watu wawe na option hata kama nikunyonywa Kila mtu achague anyonywe na yupi mwenye unafuu.
Kuna mfumo wa Pi network unakuja ni crypo hyo inayotumia blockchain
 
Sio lazima katika miungano kuwa wote lazima wawe na mahusiano mazuri.
Nchi zinachoangalia ni maslahi ktk umoja au kikundi
Ni kweli ndio tunakuja pale pale Jerusalem kwa huu utofauti tu muwestern si tayar kashapata uchochoro
 
Kwahiyo ww ulitaka waseme vita iendelee? Hujui hata lugha ya kidipromasia?
Fikiria zaidi. Kumbuka BRICS ilikuja kuwapo kama matokeo ya vita ya Urusi na Ukraine
 
Tungekuwa wanachama tamko lingetolewa.
Africa kusini mwanachama
Hivi Raisi Ranaphosa ameshindwa kupenyeza hiyo hoja wakati hadi majeshi yake yako Kongo kuwa Bricks itoe tamko hata lq kukomeshwa vita kongo
 
Wito wa kinafiki, hata USA kila siku inatoa wito wa kusitisha mapigano Gaza
 
Back
Top Bottom