Hii inauma jameni - Dongo Kundu

Hii inauma jameni - Dongo Kundu

Dar inashindana na Mombasa [emoji23][emoji23][emoji23] usisahau bandari kubwa Ukanda huu Ni ya Mombasa, Dual carriageway kubwa zaidi Kati ya Dar na Mombasa ipo in Mombasa hata daraja kubwa zaidi itakuwa tu hapa Mombasa.
Unajua kwanini Mombasa ni bandari kubwa pekee Kenya ? Tanzania inaufukwe mpana sana hivyo ni bora kuwa na bandari nyingi za wstani kuliko kuwa na moja to kubwa,hivyo ukitaka kujua ukubwa wa bandari za Tanzania jumlisha bandari zetu zote za baharini
 
Bro amka kwenye ndoto yako Kali. Mombasa tayari imewashinda kwenye Port na barabara sijui nini kingine unataka zaidi ya hapo.
Tumia akili Kwa geography ya Kenya mnastaili kuwa na bandari moja kubwa ila Kwa geography ya Tanzania tunatakiwa tuwe na bandari nyingi za wastani
 
Kwanza ata ile mombasa ynyw naturally it's a part of Tz sema bac tu wazungu walicheza foul
 
Unajua kwanini Mombasa ni bandari kubwa pekee Kenya ? Tanzania inaufukwe mpana sana hivyo ni bora kuwa na bandari nyingi za wstani kuliko kuwa na moja to kubwa,hivyo ukitaka kujua ukubwa wa bandari za Tanzania jumlisha bandari zetu zote za baharini
ATA uki combine bandari zenyu zote tanga+mtwara+dar haviwezi fikia capacity ya Mombasa ambayo ni 30+milion tonnes,vile vile uki combine airport zenyu karibu zote haziwezi kufikia capacity ya jkia,,,wacha kusikiza upumba mnao liswana ccm jifanyie research yako
 
Wakenya mwakani siyo mbali .sije sema hatukuwaambia miladi yetu mingi itakuwa imekamilika
Kila kitu ambacho mnacho pia Sisi tunacho,toa miwani ya ccm ili uweze kuona miradi haifanywi tu kwenyu pia nchi zingine zinafanya......
 
ATA uki combine bandari zenyu zote tanga+mtwara+dar haviwezi fikia capacity ya Mombasa ambayo ni 30+milion tonnes,vile vile uki combine airport zenyu karibu zote haziwezi kufikia capacity ya jkia,,,wacha kusikiza upumba mnao liswana ccm jifanyie research yako
[emoji115][emoji115][emoji115] mjaluo keshapaniki ss[emoji23][emoji23]
 
Wakenya mwakani siyo mbali .sije sema hatukuwaambia miladi yetu mingi itakuwa imekamilika
Geza ulole, annael , kadoda na wengine wengi waliimba huo wimbo miaka zaidi ya kumi iliyopita na kwa Sasa tangu hizo enzi gap kati yetu inepanuka zaidi na bado inazidi kupanuka. Kumbuka nyakati zile sote tulikuwa LDC. Nani Sasa amebaki LDC?
 
Unajua kwanini Mombasa ni bandari kubwa pekee Kenya ? Tanzania inaufukwe mpana sana hivyo ni bora kuwa na bandari nyingi za wstani kuliko kuwa na moja to kubwa,hivyo ukitaka kujua ukubwa wa bandari za Tanzania jumlisha bandari zetu zote za baharini
Mombasa Port Ni kubwa kuliko hizo zote zenu pande ya mizigo inayopitia mle hata muongeze na za ziwa Victoria bado hamfiki ya Mombasa.
 
Kwanza ata ile mombasa ynyw natural it's a part of Tz sema bac tu wazungu walicheza foul
Nakwambia ingelikua kijiji kimoja kikubwa km vile dodoma...heri tukabadilishana hvo hvo na mlima kilimanjaro ndio tuiokoe mombasa
 
ATA uki combine bandari zenyu zote tanga+mtwara+dar haviwezi fikia capacity ya Mombasa ambayo ni 30+milion tonnes,vile vile uki combine airport zenyu karibu zote haziwezi kufikia capacity ya jkia,,,wacha kusikiza upumba mnao liswana ccm jifanyie research yako

JKIA capacity is 7.5m pax annually, while JNIA capacity is 10m pax annually.
 
Unamaanisha ile 2m pax annually

Mwenzako amezungumzia capacity. Air Tanzania ikiimarika abiria wengi wataongezeka hasa wa transit.
Nyie mna KQ kwa hiyo kuna abiria wengi wa transit JKIA.
 
Wacha tuisubirie iimarike basi
 
Mwenzako amezungumzia capacity. Air Tanzania ikiimarika abiria wengi wataongezeka hasa wa transit.
Nyie mna KQ kwa hiyo kuna abiria wengi wa transit JKIA.
Nilimaanisha traffic sio capacity
 
Back
Top Bottom