Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Unajua kwanini Mombasa ni bandari kubwa pekee Kenya ? Tanzania inaufukwe mpana sana hivyo ni bora kuwa na bandari nyingi za wstani kuliko kuwa na moja to kubwa,hivyo ukitaka kujua ukubwa wa bandari za Tanzania jumlisha bandari zetu zote za bahariniDar inashindana na Mombasa [emoji23][emoji23][emoji23] usisahau bandari kubwa Ukanda huu Ni ya Mombasa, Dual carriageway kubwa zaidi Kati ya Dar na Mombasa ipo in Mombasa hata daraja kubwa zaidi itakuwa tu hapa Mombasa.