Hii inaweza kuwa dalili kwamba nimepata maambukizi ya Virusi vya UKIMWI?

Wakuu nimeanza kupata rashes zinawasha sana!! Ni week ya 2 tangu nijichanganye kwene ngono zembe vip inaweza kua dalili ya HIV

Ushuhuda mzuri kutoka kwa wenye HIV au waliowai pata hili tatizo

Pole sana.

Nenda hospitalini ukaonane na daktari akufanyie uchunguzi na vipimo ili ujiridhishe kabisa.

Kila la kheri.
 
Wakuu nimeanza kupata rashes zinawasha sana!! Ni week ya 2 tangu nijichanganye kwene ngono zembe vip inaweza kua dalili ya HIV

Ushuhuda mzuri kutoka kwa wenye HIV au waliowai pata hili tatizo
Sasa kwani kipimo kinauzwa shngap ad uje huku ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ