Hypersonic WMD
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,337
- 1,876
- Thread starter
-
- #101
IkawajeNimewahi pima kwa lazima,nimemchukua yule dada kufika chumbani akatoa vipimo eti tupime kabisa, alinishtua sana japo alinisaidia sana kujijua status yangu na kuwa makini way forward
Kwa hakika huu ni mtihani mgumu hata wa Cambridge ukasome....Hata ungekua wewe hapa unatumiaje mpira?
😂😂😂😂Alikua bonge sana !! tulikutana dukani
Kwani ilikuwaje?Wakuu nimeanza kupata rashes zinawasha sana!! Ni week ya 2 tangu nijichanganye kwene ngono zembe vip inaweza kua dalili ya HIV
Ushuhuda mzuri kutoka kwa wenye HIV au waliowai pata hili tatizo
Wiki mbili zimeshapita wageni wameshaingia.(kama waliingia)Kunywa sijui pep ndio wanaita ebu waulize wazinzi wenzio watakuambia kabla ya masaa 72 uache uwoga
Nilikua vizuri tu,ila kabda ya hapo sikua najiamini kabisa so alinitoa kwenye gereza la hofu,japo alinishtua sana tena sana alipotoa vipimo,sikua nimejiandaa kisaikolojia.Ikawaje
hongera yako! jitunze manNilikua vizuri tu,ila kabda ya hapo sikua najiamini kabisa so alinitoa kwenye gereza la hofu,japo alinishtua sana tena sana alipotoa vipimo,sikua nimejiandaa kisaikolojia.
okWiki mbili zimeshapita wageni wameshaingia.(kama waliingia)
daah nitasimulia baada ya miezi 3Kwani ilikuwaje?
😌😌Kwa hakika huu ni mtihani mgumu hata wa Cambridge ukasome....
Tutaokolewa kwa neema tu na si vinginevyo maana pisi ikitoa nguo unaona ilivyoumbika mpaka unabubujikwa na machozi kama Mwashambwa wako anavyobubujikwa na machozi akikuona. Kondomu hata kama unazo mfukoni haki ya nani huzikumbuki. Matokeo yake ndo haya sasa. Baada ya wiki tu unaanza kusumbua watu na nyuzi za kichovu kisa tu umeanza kubanja na kupata vipele 😁
Ni muda umepita ndugu, unadhani najua hata kinachoendelea mwilini humu.hongera yako! jitunze man
si upime au huna mwenzaNi muda umepita ndugu, unadhani najua hata kinachoendelea mwilini humu.
Sasa huoni kuwa tunawapa maulaji kutokana na wagonjwa kuwa wengi.Wacha kuhamasisha ngono zembe Mkuu,
Serikali inatumia gharama kubwa sana kwenye kupambana na huu ugonjwa kuanzia kwenye ununuzi wa ARVs hadi kule kwenye tume ya kudhibiti Ukimwi (TACAIDS)
Bora uwakumbushe kutumia kondomu kwenye mizunguko yao leo
ungekuwa unaelewa gharama yake ungejilindaKwamba niende nikapime PCR unaelewa gharama yake?
Nitapima, now sina hofu kama mwanzoni.si upime au huna mwenza
Trump will call you back🤣🤣🤣Wakuu nimeanza kupata rashes zinawasha sana!! Ni week ya 2 tangu nijichanganye kwene ngono zembe vip inaweza kua dalili ya HIV
Ushuhuda mzuri kutoka kwa wenye HIV au waliowai pata hili tatizo
Sawa mkuuungekuwa unaelewa gharama yake ungejilinda
sawaTrump will call you back🤣🤣🤣
Ingekuwa unatumia Kijiti, ningesema uachane nacho hakikufaiSasa huoni kuwa tunawapa maulaji kutokana na wagonjwa kuwa wengi.
Kifa kufaana bwana
Dah ! Pole zake ila amuombe mungu atamsaidia kunadawa muhindi mmoja anauza ukinywa vimawe viwili vitatu kwenye maji yako unaponaWiki mbili zimeshapita wageni wameshaingia.(kama waliingia)