Hii inaweza kuwa dalili kwamba nimepata maambukizi ya Virusi vya UKIMWI?

Hii inaweza kuwa dalili kwamba nimepata maambukizi ya Virusi vya UKIMWI?

Nimewahi pima kwa lazima,nimemchukua yule dada kufika chumbani akatoa vipimo eti tupime kabisa, alinishtua sana japo alinisaidia sana kujijua status yangu na kuwa makini way forward
Ikawaje
 
Hata ungekua wewe hapa unatumiaje mpira?
Kwa hakika huu ni mtihani mgumu hata wa Cambridge ukasome....

Tutaokolewa kwa neema tu na si vinginevyo maana pisi ikitoa nguo unaona ilivyoumbika mpaka unabubujikwa na machozi kama Mwashambwa wako anavyobubujikwa na machozi akikuona. Kondomu hata kama unazo mfukoni haki ya nani huzikumbuki. Matokeo yake ndo haya sasa. Baada ya wiki tu unaanza kusumbua watu na nyuzi za kichovu kisa tu umeanza kubanja na kupata vipele 😁

IMG_20250203_082632_382.jpg
 
Nilikua vizuri tu,ila kabda ya hapo sikua najiamini kabisa so alinitoa kwenye gereza la hofu,japo alinishtua sana tena sana alipotoa vipimo,sikua nimejiandaa kisaikolojia.
hongera yako! jitunze man
 
Kwa hakika huu ni mtihani mgumu hata wa Cambridge ukasome....

Tutaokolewa kwa neema tu na si vinginevyo maana pisi ikitoa nguo unaona ilivyoumbika mpaka unabubujikwa na machozi kama Mwashambwa wako anavyobubujikwa na machozi akikuona. Kondomu hata kama unazo mfukoni haki ya nani huzikumbuki. Matokeo yake ndo haya sasa. Baada ya wiki tu unaanza kusumbua watu na nyuzi za kichovu kisa tu umeanza kubanja na kupata vipele 😁
😌😌
 
Wacha kuhamasisha ngono zembe Mkuu,

Serikali inatumia gharama kubwa sana kwenye kupambana na huu ugonjwa kuanzia kwenye ununuzi wa ARVs hadi kule kwenye tume ya kudhibiti Ukimwi (TACAIDS)

Bora uwakumbushe kutumia kondomu kwenye mizunguko yao leo
Sasa huoni kuwa tunawapa maulaji kutokana na wagonjwa kuwa wengi.
Kifa kufaana bwana
 
Back
Top Bottom