Kwa wale Wanye kumbukumbu nzuri kwenye Mpira wa Tanzania watakuwa wanawakumbuka awa jamaa vizuri sana;
Rodgers gumbo
Lucas mashauri
Davis mosha
Seif Ahmed magari
Pelegrinus Rutayuga
Hao jamaa walikuwa mafia sana kwenye utawala wa walipokuwa kwenye kamati ya mashindano, yanga ilikuwa aigusiki kirahisi kwenye mipango yote ya timu kufanya vizuri, sasa engineer kawarudisha rasmi kwenye kamati ya mashindano!
Wote tunajua yanga hii kwa sasa ni Bora lakini Engineer ana roho mbaya sana ameamua kuendelea kuwakomoa watu kwa kushusha vyuma vingine vya maana kwenye timu!
Nadhani sasa upele umemfika mkunaji na vyuma ivyo tiyali vishatia timu kule Ethiopia kuakikisha timu inarudi na ushindi wa kishindo!