Hii kamati ya mashindano ya roho mbaya iliyolejeshwa na eng.Hersi ikiwa na mafia wa enzi za manji nawaona yanga wakiendeleza vilio mwanzo mwisho!

Makavuli

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
1,425
Reaction score
1,829
Kwa wale Wanye kumbukumbu nzuri kwenye Mpira wa Tanzania watakuwa wanawakumbuka awa jamaa vizuri sana;
Rodgers gumbo
Lucas mashauri
Davis mosha
Seif Ahmed magari
Pelegrinus Rutayuga
Hao jamaa walikuwa mafia sana kwenye utawala wa walipokuwa kwenye kamati ya mashindano, yanga ilikuwa aigusiki kirahisi kwenye mipango yote ya timu kufanya vizuri, sasa engineer kawarudisha rasmi kwenye kamati ya mashindano!
Wote tunajua yanga hii kwa sasa ni Bora lakini Engineer ana roho mbaya sana ameamua kuendelea kuwakomoa watu kwa kushusha vyuma vingine vya maana kwenye timu!
Nadhani sasa upele umemfika mkunaji na vyuma ivyo tiyali vishatia timu kule Ethiopia kuakikisha timu inarudi na ushindi wa kishindo!
 
Hao jamaa ni kisanga👐👐kwanza maokoto yamelala humo😀
 
Sasa hivi Kamati hiyo ipo LIVE Youtube ikifanya kikao cha hadhara kumjadili Yusuph Kagoma

 
Wanatoa rushwa? Asingefungiwa Kitumbo wa Tabora UTD angeongeza vioja vya roho mbaya NBCPL
 
Ni sawa ila ndio mkauharibu uwanja wa KMC ili tu Simba asifanye vizuri...hayo majini yenu ya kingazija mmeona hayatoshi?
 
Ni sawa ila ndio mkauharibu uwanja wa KMC ili tu Simba asifanye vizuri...hayo majini yenu ya kingazija mmeona hayatoshi?
Wameharibu uwanja ili iweje? Unadhani walifika robo fainali klabu bingwa na fainali ya shirikisho kwa bahati mbaya mpaka wawaroge nyie? Acheni ushamba wa kizamani huo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…