Jamani wakuu tafadhalini mnapo zungumzia baina ya uzanzibar na utanganyika msichanganye na dini ya uislamu kwani hata huku tanganyika waislamu tupo wengi sana tu.
So msiuchanganye uislamu na uzanzibar, kwani uislam wenyewe upo kabla hata ya hao wazanzibar, umeletwa wakaupokea wakauamini.
Chuki zenu binafsi msizilete kupitia dini ya uislam. Uislam ni dini ya walimwengu wote na si wazanzibari tu.