Hii kampuni haifai hata kidogo kuwekeza kwenye ardhi ya Zanzibar

Hii kampuni haifai hata kidogo kuwekeza kwenye ardhi ya Zanzibar

Kwanini tu usizijibu hoja zake,kutukana Dini na Imani za wenzio sio.

Tujadiliane kwa stara.
Mtu Yuko radhi kuutupa uafrika wake awakabidhi waarabu nchi yake kwa mahaba ya Dini unahisi mtu wa design hiyo ataelewa reasoning yoyote?
 
Hajui kuwa Waarabu pia ni Waafrika😁
Waarabu wenyewe hawajiiti waafrika...Na Hao waliokuja juzi kina Mo salah hawajinasibishi Na uafrika...lakini sisi wamatumbi wa Nsalala tunawakumbatia Na kuwaita waafrika
 
Unafanya research, halafu unampa facts,akipinga tunamuuliza source ya historia aliyoisema.
Hawa nawajua ukifanya hivo watafanya juu chini kubadilisha Mada au watapinga mpaka legitimate sources unazoweka...so mwisho wa siku inakuwa sio kujibizana Kwa hoja inakuwa kuoneshana uwezo wa kutype
 
Hawa nawajua ukifanya hivo watafanya juu chini kubadilisha Mada au watapinga mpaka legitimate sources unazoweka...so mwisho wa siku inakuwa sio kujibizana Kwa hoja inakuwa kuoneshana uwezo wa kutype
Jf inasomwa na watu wengi, wa nje na ndani ya Nchi,wewe unatakiwa kufanya hivyo ili hata wafuatiliaji wawe wanapata faida usijali ubishi wao.
 
Kwani shangazi wa SACCOS anasemaje ,ameshindwa kuwasaidia akina yakhe wenzake? halfu uliyeleta habari weye mwenyewe muoga unashindwa hata kusema jina la hoteli hizo ingawa mwishoni umejifanya upo TAMWA, mwenyewe unaogopa sasa unataka wenzake wawe kimbelembele, umekuwa bingwa wa keyboard za kwenye mitandao, si uende polisi ukatoe ripoti au unataka kuharibu uchumi wa buluu yakhe ili wawekezaji wakimbie?
 
Hata mtu akikataa lakini Afrika ni Bara letu sote.
Jina Afrika lilitungwa na Wazungu wa Roman Empire.
Ishu sio Jina ishu Ni maana behind Hilo Jina...ukisema mchina tayari unajua Ni mtu wa Aina Gani na muonekano Gani hata kama amezaliwa mbagala lakini mchina Ni mchina Tu...na mbongo anayeishi China sio mchina (ethnically)

Kwahyo Afrika Ni Bara la watu weusi indigneous lakini Kuna wazungu waarabu wahindi wachina WaPo pia...lakini tukija kuongelea root ya uafrika indignation Na ethnically watu weusi ndo waafrika pekee.
 
Jf inasomwa na watu wengi, wa nje na ndani ya Nchi,wewe unatakiwa kufanya hivyo ili hata wafuatiliaji wawe wanapata faida usijali ubishi wao.
Sasa Mzee let's say mfano wewe unaweka ushahidi wa picha kipindi waarabu wanasafirisha watumwa halafu mtu anareply Kwa kusema Yesu alikuwa shoga hapo unawezaje kuendelea kujadiliana kihoja?
 
Sema tu pilipili, kwani si wamefuata sheria zote za uwekezaji, na wageni wao mambo yao watafanyia ndani vyumbani, wewe yanakuhusu nini ikiwa uko nyumbani kwako. Jadilini hoja za msingi wabaguzi wakubwa ninyi, mnaongea utafikiri watakatifu ili hali kila siku ukisikiliza mawio baba kambaka au kulawiti mwanae wa kuzaa au wa kufikia, wasaidieni hawa watoto kupata haki na si kujibaraguza eti kampuni hii haifai, ipi inayo faa? Akija mwanaume na mwanamke unathibitishaje kuwa ni wanandoa? Ikiwa mtu anahela zake acha awekeze. Mbona aliruhusiwa tamasha la Sunwave lilokuwa limejaa mashoga na wasagaji. Acheni umimi.
FURY BORN umeliweka vizuri. Hakuna watu wanafiki kama Wazanzibari. Tena kwenye hili la ushoga wala wasijibaraguze, wanatupotezea muda tu. Zanzibar wanaume wa kiukweli ni wacahache sana. Inawezekana hata mtoa mada mwenyewe Alee ni shoga pia.

Kuna awamu moja katika awamu za Marais wa ZNZ alikuwa shoga, na Basha wake alikuwa naye anafahamika kwenye Serikali ya Muungano.
 
Kwahyo Afrika Ni Bara la watu weusi indigneous lakini Kuna wazungu waarabu wahindi wachina WaPo pia...lakini tukija kuongelea root ya uafrika indignation Na ethnically watu weusi ndo waafrika pekee.
Sio kweli ukiangali Sahel na North Afrika Berbers sio weusi lakini ni Waafrika asili.

Mwafrika ni mtu mwenye rangi yeyote.
 
Wazanzibari ni watu wema sana, nimewahi kutembelea Kisiwa cha Unguja nimeshuhudia mwenyewe.

Siku hizi Liwati limejaa Tanganyika unakutana Mashoga yamejipodoa mpaka yanatisha.

Hata huyu Bibie Hangaya ni Watanganyika ndio wanafunza Roho mbaya.

Msema kweli mpenzi wa Mungu.
 
Waarabu wenyewe hawajiiti waafrika...Na Hao waliokuja juzi kina Mo salah hawajinasibishi Na uafrika...lakini sisi wamatumbi wa Nsalala tunawakumbatia Na kuwaita waafrikabishi Na uafrika

Utakuta saa tano mchana kweupe ndio wana amuka wakati wabara tayari saa kumi asubuhi ushaamuka unaelekea shamba au kariakoo
Mbona juzi hapa Hao wabara kwa mamia walikamatwa wanalala kwenye mapaa ya nyumba Za michenzani. Wanafanya kazi gani?
 
Utakuta saa tano mchana kweupe ndio wana amuka wakati wabara tayari saa kumi asubuhi ushaamuka unaelekea shamba au kariakoo
Wengine hawa wameshikwa kutoka Tanganyika
 
Attachments

  • VID-20211030-WA0031.mp4
    13.4 MB
Back
Top Bottom