johnmashilatu
JF-Expert Member
- Sep 16, 2010
- 1,263
- 1,753
Wadau.
Napitia kanuni za maadili zilizotolewa hivi karibuni baada ya kusainiwa na vyama 18, Tume na Serikali, nimeona kanuni ambayo kwangu inakanganya.
Kanuni hii ni 2.1 kuhusu wajibu vyama.vya siasa na wagombea.
Katika kipengele h ndio kuna huo mkangayiko niliona.
Inasema; kuhakikisha kuwa vijitabu, vipeperushi, vitini, mabango na machapisho ya aina yoyote yatakayotumika kuelezea sera zao, yatatumika TU na vyama vya siasa, wagombea, wanachama na wafuasi wao baada ya kuidhinishwa na tume ...."
Sasa kwangu naona haiko vyema. Wachambuzi wa sera, vyombo vya habari, wana taaluma nk hawa watafanya vipi kazi zao.
Kwamba CCM hawawezi kunukuu sera ya CDM na kuitumia kuwaeleza wananchi ubaya au uzuri wake?. Ni kosa kwa mwqna CCM kutumia machapisho ya CUF kuipongeza au kuikosoa?
Hii nyaraka kufikia kutoka nje kwa umma si inakuwa mali ya umma?
Kwa mujibu wa kanuni hii, Ripoti ya CAG ikikabidhiwa kwa bunge na rais hakuna mdau anaweza kuijadili kama sio mtumishi wa umma na mbunge?
Msaada kwa aliyeelewa hili.